Jinsi ya Kutengeza Website Kama Jamii Forums

Kama unampango wa kucreate forum naweza kukusaidia, but utatumia SMF, PHbb au MYbb just ni PM au unaweza jaribu mwenyewe hapa www.ilovetz.com
 
unaweza kutengeneza website kama jamiiforums bila kujua kucode sio ngumu sana na kama unavojua jamiiforums inatumia vbulletin ambayo ni script ya kulipia so wanaweza kuku installia wao wenyewe maana support ni 24 hrs. Ila inabidi unote vitu vifuatavyo

1. Script ya jamiiforums yani vbulletin ni ya bei kubwa inaweza fika hadi laki 5 itategemea na licence nenda website yao vbulletin.com kuona package

2. Utahitaji hosting yenye space kubwa na bandwitch ya kutosha tuseme unlimited maana mfano hapa jamiiforums tupo karibia laki 1 kila mtu ana upload vitu vyake na watu wanavidownload so utahitaji space kubwa ya kuvihifadhi. Hapa nazo zitatoka laki kadhaa

3. Kumanage hio forum. Hapa ndio pagumu zaidi kwa muda kama huu kuiweka forum yako from zero to hero itabidi ueke advertise za kufa mtu hapa napo laki kadhaa zitoke.

Hio ni introduction tu bado kuna mambo mengi tu ila uwe aware na hivo vitatu hapo juu.

Lakini alternative unaweza tengeneza cheap forum kwa kufanya hivi

1. Badala ya kutumia vbulletin au ip board za kulipia unatumia script za bure za forum maarufu zaidi ni mybb, phpbb na smf (simple machine forum) zote hizi zina mobile plugin

2. Badala ya kutafuta hosting za kulipia hapa unatafuta za bure ambazo zipo slow na bila support na hizo script nlizozitaja hapo juu unazikuta auto install. Mfano wa hosting wanaoclaim wanan unlimited hosting bure ni nazuka.net

3. Badala ya kuadvertise hapa unafanya black marketing kwa ku scam email za watu na matangazo yako pamoja na mengine mengi (do at ur own risk)

apo kwenye red si ni kasheshe awezi kufikishwa kwa pilato?
 
Tuwe realistic. JamiiForums imefanya customization KUBWA kwenye original script ya vBulletin. Ninaongelea PHP core modifications pamoja na layout nzima. Sio sahihi kusema it can be done in hours as if unapandisha tu files, input db info, site name and BAM!, you have JamiiForums of your own!
Kwa mtu yoyote ambaye ameshawahi kuifanyia kazi vBulletin anaelewa. Tafuta internet nzima kama utapata layout(template) similar na hii.
Kuhusu languages, it's an advantage. Ukijua PHP, CSS, Javascript na AJAX utakuwa bora kwenye wed development na hata kumodify script yoyote utaweza. Ukitegemea auto-install na templates unadhani utaweza kufix bugs?
 
mkuu vbulletin si kama hizi za bure na ndo mana ikawa inauzwa bei ghali maana wanatoa hadi support za kuinstall, kucostumize na kila kitu hadi ukitaka hosting wanazo zao japo bei itaongezeka. Hapa ni hela tu lolote linafanyika zile za bure ndo pasua kichwa
 
Mi binafsi naona vbulleting iko vizuri, but napenda sana new forum script japokuwa zinaweza kuwa hazina plugin hata moja. Mfano wedge(zao la SMF) na esotalk
 
Msimtukane huyu mtu kauliza jambo ambalo halifahamu. ushauri wangu nenda kasome degree ya computer sciennce ama IT katika chuo chochote utayafahamu haya mambo vizuri sana. hatuwezi kukuelekeza humu kwenye JF ni mambo magumu na yanachanganya sana kakama huyajui. ama kama una rafiki yako ana degree ya course kama hizo na uuna nangalau Diploma ya kozi nilizozisema hapo juu basi jaribu kutafuta kazi halafu mwachie mshiko utakaoelewana na hao unaowafanyia kazi then fanya naye projects zote. naamaini baada ya projects kama tatu hadi nne hivi utaiva tu
 
unaweza kutengeneza website kama jamiiforums bila kujua kucode sio ngumu sana na kama unavojua jamiiforums inatumia vbulletin ambayo ni script ya kulipia so wanaweza kuku installia wao wenyewe maana support ni 24 hrs. Ila inabidi unote vitu vifuatavyo

1. Script ya jamiiforums yani vbulletin ni ya bei kubwa inaweza fika hadi laki 5 itategemea na licence nenda website yao vbulletin.com kuona package

2. Utahitaji hosting yenye space kubwa na bandwitch ya kutosha tuseme unlimited maana mfano hapa jamiiforums tupo karibia laki 1 kila mtu ana upload vitu vyake na watu wanavidownload so utahitaji space kubwa ya kuvihifadhi. Hapa nazo zitatoka laki kadhaa

3. Kumanage hio forum. Hapa ndio pagumu zaidi kwa muda kama huu kuiweka forum yako from zero to hero itabidi ueke advertise za kufa mtu hapa napo laki kadhaa zitoke.

Hio ni introduction tu bado kuna mambo mengi tu ila uwe aware na hivo vitatu hapo juu.

Lakini alternative unaweza tengeneza cheap forum kwa kufanya hivi

1. Badala ya kutumia vbulletin au ip board za kulipia unatumia script za bure za forum maarufu zaidi ni mybb, phpbb na smf (simple machine forum) zote hizi zina mobile plugin

2. Badala ya kutafuta hosting za kulipia hapa unatafuta za bure ambazo zipo slow na bila support na hizo script nlizozitaja hapo juu unazikuta auto install. Mfano wa hosting wanaoclaim wanan unlimited hosting bure ni nazuka.net

3. Badala ya kuadvertise hapa unafanya black marketing kwa ku scam email za watu na matangazo yako pamoja na mengine mengi (do at ur own risk)

Kama mambo enyewe ndo haya nitaishia hapa hapa jf
 
Back
Top Bottom