Kitu cha kwanza huyo anayekataa sio website hajui maana ya website. Website is the application which run under browser.Jamaa Tusaidiane,Hivi JF imetengezwa Vp?Au Kupitia software gani?Nisaidieni Please!
Mkuu, hii kitu huwezi fundishwa humu humu ukaelewa unless kama una aidia na mambo ya programming:typing:Natumia Kawaida tu, Nisaidieni Please Wakuu.
Mkuu, hii kitu huwezi fundishwa humu humu ukaelewa unless kama una aidia na mambo ya programming, ila nisikukatishe tamaa try your best level maana vichwa havifanani:typing:Natumia Kawaida tu, Nisaidieni Please Wakuu.
Ni PM kama unahitaji ili nikupe somo zaidi
Kitu cha kwanza huyo anayekataa sio website hajui maana ya website. Website is the application which run under browser.
Sasa hizo application ziko za aina nyingi mf: forum etc.
Jibu:
Kitu kikubwa unachotakiwa kujua ili uteneneze website kama hii ni:
1. HTML
2. Javascript
3. Server side script e.g PHP, ASP, JSP unaweza ukachagua moja wapo.
4. Database e.g Mysql, MS SQLServer, Oracle etc. na hapo unaweza chagua moja wapo.
5. Kutoka hapo sasa utaanza kujua wapi kwa kwenda sawa?
6. Cascade style sheet
La sivyo utabaki kuangalia tu.
Hii siyo Website ni Forum! Una uwezo gani ktk Computer Programing?
Vyote maana kila kimoja kina kazi yake tofauti.lazima ujue vyote au hata kimoja wapo?
Sasa baada ya hapo utafanya nini.Basi Bora Niendelee na Hii hii wapsite zangu nimetengeza bureeeeeee! Check this http://sixcenter.tk