Wamtaa huu
Senior Member
- Jan 21, 2011
- 168
- 55
kuconvert word to pdf tafuta pdf converter au nitro pdf au adobe x zote zina option ya kuconvert kwani we upo wapi??
Download Docpdf alafu 2mia hyo kukonvert docx. to pdf.
Nunua cd ya Windows, uwe nayo ya kwako mwenyewe, halafu search google(how to install windows) utapata tutorial za kutosha
unajua kutumia torrents? kama unajua search google tu utapata window yoyote unayohitaji for free..Mkuu Ismailsimba nakushukuru sana.Hizo CD za windows zinakuwa na window zaidi ya moja au just one eg.Window 7 pekee?Zinapatikana wapi kwa sh.ngapi?
unajua kutumia torrents? kama unajua search google tu utapata window yoyote unayohitaji for free..
nipo na image ya window 7 ina version zote 'all in one' wewe gharama yako ni empty dvd tu, siku ukija dar tuwasiliane.
Hilo la Word kwenda Pdf, kama unatumia MS Word 2007/2010 basu huitajiki kuinstall kitu chochote, MS Word ina hii function ndani yake, unaweza kufanya hivyo kwa kwenda save as-->chagua pdf, there you go.

To covert your document to PDF; first you need PDF creater installed on your machine. There are free PDF Creaters just google and you can install.
PDF creater normally appears under list of Printers, thus if you want to convert your document, you go to FILE, PRINT, in the printer list, you select PDF creater.
Hilo la Word kwenda Pdf, kama unatumia MS Word 2007/2010 basu huitajiki kuinstall kitu chochote, MS Word ina hii function ndani yake, unaweza kufanya hivyo kwa kwenda save as-->chagua pdf, there you go.
tumia office 2010 save as pdf au tumia open office save as pdf rahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisi km kumumunya musukutiNaomba maelekezo ya kutengeneza document in pdf format.Nimehangaika nimeshindwa nika02a niwashirikishe wadau wa technology hapa.
Pia naomba kuelekezwa steps za kuweka window kwenye laptop.Inaniuma sana kulipia zaidi ya 20000Tsh pale ninapotaka kubadili window.
Ni hayo tu,karibuni
Thanx mkuu!Vp hilo la window