Jinsi ya kutengeneza maziwa ya mgando

Jinsi ya kutengeneza maziwa ya mgando

Nashukuru. Hebufafanua kulingana na uandaaji wake. Kiswahili Yoghurt ni nini?

Sijui kiswahili chake nadhani ni mgando hivyo hivyo, na utengenezaji wake unahusisha maziwa mgando na flavors zingine, yani tuseme maziwa mgando yenye ingredients nyingi nyingi ndani yake, ukitaka plain maziwa mgando ni "buttermilk"
 
Asante ila nahisi sijaridhika na hilo jibu. Sijui kwanini......
 
C kuyagandisha mkuu
 
Mziwa mgando ndio yanayoitwa maziwa lala, maziwa chacha. Yogurt ni maziwa mgando(cream ya juu) unaweka fruits kisha unablend kupata flavor na rangi.

Maziwa yakioza ndio yameganda ila usiruhusu yaoze sana maana yatakuwa yamedevelop funza/minyoo.

Maziwa ya mgando unayalaza two to three days maxmum na uwe umeyaachemsha haswa ili kuua bacteria wanaokuwa ktk chakula cha ng'ombe.
 
Kila nilipokuwa najifanya kugandisha maziwa nafeli mpaka nikawa nakunywa ya kuchemsha tu. Nikatafuta huu uzi wa zamani ngoja nifanye nitaleta mrejesho for archives.
 
Mkuu mbona hujaleta mrejesho, ulifanikiwa? Mimi naona nikichemsha kisha nikagandisha hayawi na ile ladha ya uchachu halafu hata mgando wake hauwi mzuri
 
Nilikuja gundua ni mbinu za kibiashara. Nilikubali nitakuwa nanunua tu yaliyogandishwa leo leo. Hiyo ni skill wafugaji wanarithisha watoto wao. Sisi wakuja lazima yasiwe matamu kivile. Inahitaji majaribio mengi pamoja na utaalamu kufanya yawe matamu.

Ila maziwa ya kuchemsha kwanza yanadumu na hayachachuki kupitiliza. Na yanachijika maji vizuri.
 
Tatizo mimi huku niliko wanaouza mtindi wanagandisha bila kuchemsha halafu haupatikani muda wote. Ndio maana nilikuwa natafuta namna ya kuutengeneza mwanyewe
 
Back
Top Bottom