Jinsi ya Kutengeneza Kipato Kupitia Blog

Elimubomba

Senior Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
111
Reaction score
47
Nimeamua kuandika kitabu kinachoitwa JIINGIZIE KIPATO MTANDAONI KUPITIA BLOG ili kiwe mwongozo na msaada mkubwa kwa Wanaotaka Kujiingizia kipato kupitia Blog.
Kitabu kinapatikana katika mfumo wa PDF hivyo unaweza kutumiwa popote ulipo kupitia WhatsApp au Email na utaweza kukisoma kupitia Simu yako au Kompyuta.

Kitabu kina mada 7
1.Utangulizi wa Blog
2.Matumizi ya Blog
3. Mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujaanza kutengeneza kipato kupitia Blog.
4.Jinsi ya kuongeza Watembeleaji katika Blog.
5.Njia 9 Za kujiingizia kipato kupitia Blog.
6.Jinsi ya kufanikiwa kupitia Blog.
7.Njia za Malipo.

Kitabu kinapatikana kwa gharama ya Tsh 4,000/- tu. Kupata kitabu hiki Tuma Ujumbe WhatsApp 0672 999 266.
 
Akikujibu ni Tag
1.Ni vigumu kutaja kiasi kamili nilichoingiza kwani pesa haifanani kila mwezi.

2.Ifahamike: Mimi sio kipimo cha kujua utaingiza tsh ngapi. Kuingeza pesa zaidi ya mimi au pungufu itategemea ni njia gani ya kujiingizia kipato unayotumia na muda gani unaaweka juhudi katika hilo. Kwa mfano mimi ninafanya kazi ya blog ninapopata muda kwa kuwa kwa sasa nipo University.
Karibu!
 
We umeshatengeneza sh ngapi kupitia blog?

Wee sema unauza kitabu, na kama hiyo blog ingekulipa basi kitabu ungegawa bure, so far kwa navyowajua wabongo muuzie mmoja tuu, wengine tutakikuta mtandaoni kishasambaa na wewe pia uta ki download.
 
1.Ni vigumu kutaja kiasi kamili nilichoingiza kwani pesa haifanani kila mwezi.
2.Ifahamike: Mimi sio kipimo cha kujua utaingiza tsh ngapi. Kuingeza pesa zaidi ya mimi au pungufu itategemea ni njia gani ya kujiingizia kipato unayotumia na muda gani unaaweka juhudi katika hilo. Kwa mfano mimi ninafanya kazi ya blog ninapopata muda kwa kuwa kwa sasa nipo University.
Karibu!
Ambacho kinachoshangaza unatumia nguvu kubwa kupromote kitabu kuliko hiyo blog "inayokulipa"
 
Back
Top Bottom