Wakuu heshima kwenu, naombeni msaada jinsi ya kudesign id card kwa njia rahisi? Je ni software gan inafaa,
Id cards zipo za aina nyingi, japokuwa jukusema za aina gani, nikimaanisha materials inayotumika kutengeneza sababu kwa sasa kuna ID za plastics, embossed, manila na hizi kama za Bank n.k
Njia rahisi ya kudesign Id cards ni kwa kutumia Ms Publisher ambayo watu wengi wanaitumia.
kwa upande wa software gani ni nzuri, kwa maoni yangu inategemea na utaalam wako katika graphics upo juu kiasi gani.
software zinazotumika zaidi ni Photoshop, Publisher, Gimp and CorelDraw.
Pia jaribu kupitia hizo sample nilizoattach.
Unaweza kutumia software yoyote ya Graphics cha muhimu ni kujua vipimo vya hiyo ID card
Nishajua kudesign kwa kutumia photoshop, sasa ugumu umebaki katika kuprint, nina epson printer l800 na nimeona video fulan jamaa anaprint hadi card 2 na hadi 10 kwa wakati mmoja, kuna maujanja gani hapo?
hiyo printer unnayo muda gani sasa? vipii ufannisi wake.
Ninayo miezi miwili hivi, ni nzuri, jana valentine day nilikuwa buzuruga plaza nimetupia red kapeti ful kupiga mapicha niliprint zaidi ya picha 800 na niliziuza bukubuku nilipata zaidi ya 800,000
yaan nina fulaha hela yangu ya printer imerudi mapema sana sasa naona hii printer kama niliikota ana nilipewa bure, ni nzuri lakin sijawahi itumia zaidi ya kuprint picha ingawa ina uwezo wa kuprint cd
Wakuu heshima kwenu, naombeni msaada jinsi ya kudesign id card kwa njia rahisi? Je ni software gan inafaa,
Nishajua kudesign kwa kutumia photoshop, sasa ugumu umebaki katika kuprint, nina epson printer l800 na nimeona video fulan jamaa anaprint hadi card 2 na hadi 10 kwa wakati mmoja, kuna maujanja gani hapo?
Dah! Nami ninayo hiyo. Ni nzuri sana. Natumia kuprint kazi zangu za kiofisi ila sijaipatia dili la ukweli. Unatumia photo paper za saizi gani? Maana nimetafuta 5x7 town nimekosa. ID kama wasemavyo wengine tumia ms publisher

mkuu nadhani hiyo size kwa sasa unaweza kutumia A4 photopaper na kuikata. hope utapata picha 2 kwa A4.
Mimi huwa naprint zaidi 4*6 na A4 fullpage photo sijatafuta 5*7 kwa hapa arusha
mkuu nadhani hiyo size kwa sasa unaweza kutumia A4 photopaper na kuikata. hope utapata picha 2 kwa A4.
Mimi huwa naprint zaidi 4*6 na A4 fullpage photo sijatafuta 5*7 kwa hapa arusha
hilo wazo nimekuwa nalo ila sijawahi lifanyia analysis. lina faid maana gloss a4 zinakaa 20, ukizigawa zinakuwa 40. picha moja buku. unatoa picha 40. gharama za kununulia ni 7500/- Pia za 4*6 zipo original za epson, huhitaji kukata. Sexer atuambie kama original 5*7 zipo
hilo wazo nimekuwa nalo ila sijawahi lifanyia analysis. lina faid maana gloss a4 zinakaa 20, ukizigawa zinakuwa 40.
Picha moja buku. unatoa picha 40. gharama za kununulia ni 7500/- Pia za 4*6 zipo original za epson, huhitaji kukata. Sexer atuambie kama original 5*7 zipo