Jinsi ya kutayarisha chumba cha mtoto (Nursery)

Siku hizi wanakamua maziwa yanawekwa kwenye friji hadi wiki mbili mtoto anakunywa hayobhayo yakiisha ndo anakamua mengine kisa ubusy.
Mtoto anakula viporo tangu akiwa mchanga akifikisha mwaka na nusu keshaanza shule, aaah mzungu atuhurumie tu jaman bora apige marufuku kuigwa igwa.
mmmh! yani kuna vituko, achilia mbali mwanamke anakwenda hospitali kuomba appointment ya kufanyiwa operation atolewa mtoto eti hataki kusukuma, na wakati huo keshafanya ultra sound anajua atapata mtoto wa jinsi gani basi kwa nyondo utamsikia anasema "JUMATANO NITAPATA BABY GIRL"
 
Ndugu sio kila kitu lazima uweke udini. Sasa unapotoa mstari wa biblia unamaanisha nn kwa wenye dini tofauti na ukristo?ni kujitafutia malumbano yasiyo na kichwa wala miguu.

Haya tukiangalia huo mstari huyo aliyemlalia mtoto wake akili zake anazijua mwenyewe maana alikua tayari mtoto wa mwenzie auliwe ili wakose wote,mama mwenye uchungu hawezi ona mtoto wa mwenzie akiumia.

niliweka mstari kama mfano tu kwamba case ya hivo inaweza kutokea sio kwa udini.
 
Mkuu toka umekua umewahi kusikia mama kalalia mwanae akafa Lin?, teke la kuku halimuui mwanae. Anyway mambo ya chumba cha mtoto ni option ya mtu kama una interest hiyo fanya tu but for my opinion naona haina ulazima kama sio maana kabisa

Mkuu M hata kama hakuna cases zilizotokea basi ni sawa tu kufanya hivyo hata kama ni hatari?
Yaani mpaka ajali itokee ndo tujifunze?
Kwa nini tusizuie ajali kutokea kama inawezekana.

Lakini kama ulivyosema ni option ya mtu. Kuna case kama hii ilitokea lakini bahati nzuri mtoto aliokolewa. Ndio maana kwa upande wangu hata wazo tu kama hili linaniogopesha.
 
Siku hizi wanakamua maziwa yanawekwa kwenye friji hadi wiki mbili mtoto anakunywa hayobhayo yakiisha ndo anakamua mengine kisa ubusy.
Mtoto anakula viporo tangu akiwa mchanga akifikisha mwaka na nusu keshaanza shule, aaah mzungu atuhurumie tu jaman bora apige marufuku kuigwa igwa.

Umenichekesha eti watoto wachanga wanakula viporo.
Lakini mkuu kuna tatizo mtoto kuanza shule mapema, si ndio vizuri?!
 
Yaani mtoto wangu mdogo alale chumba kingine mie nilale chumba kingine! du! wazungu hawa! watoto wanaozaliwa miaka hii wanakosa mapenzi ya mama, ashinde na dada wa kazi, mama hanyonyeshi eti nyonyo zitasinyaa, siku akitoka na mama yake anasukumwa kwenye kigari wala habebwi mgongoni, halafu tena na usiku alale chumba chake, hivi mtoto huyu ni lini atapata harufu ya mama! mweeeeeeeeeeeee! bora nibakie na upare wangu mwanzo mwisho uzungu nooooo!
me wangu nalala nae bado nahisi nitakamiss acha tu nikafaidi jamani raha
 
Mmh jaman mwaka na nusu au miaka miwili anaenda fanya nn shule si ndio mateso yanaanzia hapo kufinywa na walezi huko.
Umenichekesha eti watoto wachanga wanakula viporo.
Lakini mkuu kuna tatizo mtoto kuanza shule mapema, si ndio vizuri?!
 
Hahaa kuna wengine yaan hata hajafikisha siku za kujifungua anaforce kwa dokta ajifungue mapema kisa kachoka au anaogopa akiendelea subiri mpaka ajifungue kwa uchungu halisi ataibiwa mume.

Tena wa hivho anaweka na babyshower kila atoae zawadi anagusa tumbo la mama kijacho.

mmmh! yani kuna vituko, achilia mbali mwanamke anakwenda hospitali kuomba appointment ya kufanyiwa operation atolewa mtoto eti hataki kusukuma, na wakati huo keshafanya ultra sound anajua atapata mtoto wa jinsi gani basi kwa nyondo utamsikia anasema "JUMATANO NITAPATA BABY GIRL"
 
Mmh jaman mwaka na nusu au miaka miwili anaenda fanya nn shule si ndio mateso yanaanzia hapo kufinywa na walezi huko.

Hao walezi lazima watakuwa na matatizo sasa kufinya mtoto wa miaka 2, lakini ni vizuri kumuanzisha mtoto mafunzo mapema, ili akili ichangamke mapema.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmh jaman mwaka na nusu au miaka miwili anaenda fanya nn shule si ndio mateso yanaanzia hapo kufinywa na walezi huko.
Binafsi naona si sawa kabisa mtoto kwenda shule akiwa katoddler kamiaka miwili mitatu yani nikumtesa na kumchosha shule mapema, miaka hiyo ni ya kucheza nyumbani na twenzake.
 
Utandawazi umetuchota kwa kasi ukipinga utaonekana mshamba.
Binafsi naona si sawa kabisa mtoto kwenda shule akiwa katoddler kamiaka miwili mitatu yani nikumtesa na kumchosha shule mapema, miaka hiyo ni ya kucheza nyumbani na twenzake.
 
Back
Top Bottom