Yahya Asaa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 244
- 28
Cpu z ndo kiboko yaowakuu siku hizi kuna mbinu mpya za kugundua simu fake ama hizi hapa mbili ndizo zinazofaa mpaka sasa.?
Kama sijakosea unaanza na Polisi.
antutu inaonesha ila watu wanaichakachua sana. mfano clone zinatumia mediatek cortex A7 au A9 hawana high end processor lakini kwenye antutu inascore 20,000+ score ambayo hata nusu yake haifikii.
sasa hivi kuna scandal manufacture wote wa android wanazitengeneza simu ili zicheat kwenye benchmark hadi kina samsung, htc na lg wanafanya.
anandtech ndio kazi yake ya benchmark msome hapa kafanya analysis nzuri
AnandTech | They're (Almost) All Dirty: The State of Cheating in Android Benchmarks
:A S-rap: Sasa unamwambia nani? :der::der::der:
uzi wa zamani sana huu, sasa hivi kuna cpu za 64bit hizo hapo juu ni 32bit.Kaka vipi kuhusu hii. Mbona ina A53? Na vipi kuhusu uwezo wake?.
Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53
Thanks kakauzi wa zamani sana huu, sasa hivi kuna cpu za 64bit hizo hapo juu ni 32bit.
kwenye 64bit kuna kitu kinaitwa Big little. yaani zipo core kubwa zenye nguvu na core ndogo zinazotunza chaji.
hio cortex a53 ni core ndogo inayotunza chaji. yenyewe haina nguvu ila inatunza chaji.
Hio simu ina kioo cha inchi 6 kwa resolution ya 720p hivyo tegemea quality kuwa ndogo upande wa kioo,huwa kikawaida narecomend j7 pro over j8.Mkuu @Chief_Mkwawa,
Ninenunua simu aina ya Samsung Galaxy J8 lakini kiukweli sijaifurahia kabisa. Iko very slow kwenye internet, picha ziko very blurred na nimestore picha chache sana si zaidi ya 10 but kila mara yaniandikia "free space"
Tatizo ni nini hasa?
Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Og hio
Sawa sawa yaani ukinunua simu nzuri isiyosumbua hata kidogo hakika muda wote unatamani uwe nayoOg hio

nimemiliki samsung j5 prime niliishi maisha mazuri yenye furaha ,nilikaa nayo mwaka mmoja na miezi miwili niliwahi kufanya factory reset mara moja tu
ila kipindi cha nyuma niliwahi miliki Vf685,Tecno w4 sikupata radha ya kuwa na simu baada ya miezi mitatu ,nikarudi kununua sony ericson experia asee hii simu ilikuwa kiboko 
ndo nikaanza kujua dhamani ya kununua chenye ubora ,niliyafurahia maisha nikiwa nayo simu hiyo lkn mwisho wa siku nipo hostel ikaibiwa na sijui aliiba nani !!nikajiapiza na kusema sitonunua tecno wala huawei hizo ndogo ndogo nikitaka kununua ntakuwa nanunua Samsung au Vivo na kweli kwa mara ya kwanza nilipata uwezo wa kununua samsung j5 prime 2016 asee hii simu mpk naiuza shida ilikuwa betri ila ilikuwa iko katika khali nzuri sana nilipewa 300K nikasema wacha niichukue
nikarudi kutafuta chuma kingine na lengo langu lilikuwa kumiliki IPHONE 6S lkn mfukoni nilikuwa na 350K ila wao walihitaji 430K note ni used ndo nikakoswa pesa ya kuongezea papo hapo nikatafuta simu used OPPO A3S mshikaji wangu akanishauri chukua hii ni nzuri sana kwa ina design kama ya IPHONE mbali na hapo ina full screen 
nikaipenda nikaichukua na sasa naendelea kuifurahia haswa haina matatizo ukianzia betri,perfomance yake nzuri sana..J6 ni simu ya zamani kidogo na ukaaji chaji ni kawaidaHabari,nataka ninunue simu y kawaida samsung galaxy j6 plus vip ukaaji wa chaji,thanks in advance.
Ndio A10s itakaa na chaji zaidi, pia angalia na bei isizidi laki 3. A10 ya kawaida pia ni nzuri zaidi perfomance wise ila haikai na chaji kaMa A10s.Kwa hiyo bora ninunue a10s ?