Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,079
- 43,565
- Thread starter
- #41
Hizi Simu za Alcatel vipi utendaji wake wa kazi kwa wale walokwisha kuzitumia. Na original yake ni nchi gani?
alcatel ni kampuni ya ufaransa walishaacha kutengeneza simu. ila kuna kampuni ya kichina wamenunua hilo jina. so tunaweza kusema ni kampuni ya kichina. ila mpaka kununua jina ina màana wapo serious na hata soko lao ulaya lipo vizuri hadi kwenye nchi kama urusi. naweza kusema quality ipo level moja na makampuni kama huawei, zte na lenovo ila bado hawajafika level ya samsung, lg, htc na sony