Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,522
- Thread starter
- #21
Mkuu samahani kwa kuuliza swali la nje ya mada. Hivi Ukitumia betri ya simu ambayo uwezo wake ( i mean mAh) sio kama inavyooneshwa kwenye phone specification kuna madhara? Mfano kama phone specification inaonesha betri ya simu ni 2500mAh lakini nikatumia betri yenye 3100mAh, kuna effect yoyote kwenye uhai wa simu? Thanx
kaka hamna effect sababu huo ni ujazo tu ni kama unavyosema lita. unaweza nunua maji lita 1 ukanywa siku 1 au ukanunua lita saba ukanywa wiki nzima haina madhara.
madhara yanakuja kwenye kiasi kinachotoka/kuingia kwenye battery au simu. kikawaida battery ya simu inatoa voltage 3.7 au inaweza zidi kidogo kwenda kwenye simu. sasa ukitumia battery inayotoa umeme mwingi inaweza dhuru simu