monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 887
- 1,596
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Barikiwa sana mkuu
Unacheka nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Ahsante ila bado kuna shortcomings hapo, mfano kama sehemu unayoishi ni tofauti na eneo ulilojiandikishaNjia rahisi kupita zote ni kuisoma kwenye kitambulisho chako cha Taifa (NIDA).
Ukizisoma vizuri namba kitabulisho toka kushoto kwenda kulia utaona unaanza mwaka uliozaliwa, mwezi, siku, kisha alama ya dash(-) , zinafuata post code ya mtaa uliojiandikisha.
Baada ya post code inafuta dash(-) na namba zingine ambazo zina taarifa tofauti.
Ni hivyo, rahisi sana.
AhsanteBarikiwa sana mkuu
Ni kweli.Ahsante ila bado kuna shortcomings hapo, mfano kama sehemu unayoishi ni tofauti na eneo ulilojiandikisha
NoPosticodi ndo sanduku la posta(S.L.P/P.O.BOX) au?
Duh! Hata sijui nikusaidieje?Nikishajua inanisaidia kufafanyaje?
Lakini sijaona post code mkuuNi kweli.
Itabidi ufuate njia ya mleta mada.
Kama hiyo unakatwa pesa na wewe hautaki basi tembelea http://address.go.tz kuna system inaitwa NAPS.
Hii inatumia hadi na ramani kama google maps au kwa kufuata chaguzi ktk orodha.
Utachagua mkoa, wilaya, kisha kata(ward) n.kLakini sijaona post code mkuu
Unaponunua bidhaa mtandaoni utaulizwa post code au zip codeNikishajua inanisaidia kufafanyaje?
Mkuu hiyo post code ni physical address ambayo ukiunganisha na namba ya nyumba itawezesha kukufikia au kukufikishia vitu mfano kifurushi au barua hadi nyumbani kwako..Nikishajua inanisaidia kufafanyaje?
Mkuu je ninaweza kuiongeza hii ward post kwenye shiping adress yangu ali expressMkuu hiyo post code ni physical address ambayo ukiunganisha na namba ya nyumba itawezesha kukufikia au kukufikishia vitu mfano kifurushi au barua hadi nyumbani kwako..
Post office box(P.o.Box) ni logical address ambayo haisemi physically wewe upo mtaa mtaa gani na ndio maana lazima ukafuate ofisi za posta/courrier kifurushi chako.
Wenzetu huko nje ndio maana kila kitu wanaletewa mlangoni kwao sababu ya hizo code number(postal code).
Ukimpa mtu hizo namba na nyumba yako ataweza kuja hadi kwako kirahisi kwa maeneo yaliyopimwa vizuri na mipango miji.