President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,069
- 93,479
Things fall Apart 😂Daah tumevamiwa na Chinua Achebe this time[emoji23]
Kwenye ardhi kavu mkulima anatakiwa kutumia nguvu. Lakini kuna ardhi ya mfinyanzi pia ambapo udogo huwa unanata kwenye jembe. Kwahiyo ni muhimu sana kuwafundisha vijana wa sasa namna ya kushika mpini wakati wanalima kwenye ardhi tofauti tofauti.Mleta Uzi wewe una balaa Sana!hakuna kanuni za kushika mpini hapo inategemea ardhi na ardhi nyingine kavu Sana nyingine Zina unyevu Sasa mkulima atajiongeza mwenyewe
Au sioMleta Uzi wewe una balaa Sana!hakuna kanuni za kushika mpini hapo inategemea ardhi na ardhi nyingine kavu Sana nyingine Zina unyevu Sasa mkulima atajiongeza mwenyewe
Ndio😄Au sio
Pia Kuna udongo tifutifu,una rutuba Sana hapo ukipiga jembe Mara mbilli tatu hutumii nguvu Ila utarajie kuota kwa mazao yaliyostawi vizurii kazi inabaki kupaliliaKwenye ardhi kavu mkulima anatakiwa kutumia nguvu. Lakini kuna ardhi ya mfinyanzi pia ambapo udogo huwa unanata kwenye jembe. Kwahiyo ni muhimu sana kuwafundisha vijana wa sasa namna ya kushika mpini wakati wanalima kwenye ardhi tofauti tofauti.
Vijana wa siku hizi mazao yakiota tu wanakuwa wavivu wanakimbia na kulitelekeza shamba. Inambidi waelezwe kuwa hapa nchini kilimo ni uti wa mgongo.Pia Kuna udongo tifutifu,una rutuba Sana hapo ukipiga jembe Mara mbilli tatu hutumii nguvu Ila utarajie kuota kwa mazao yaliyostawi vizurii kazi inabaki kupalilia
Hivi tatizo Ni Nini?yaani wanalima vizuri tu,wanapanda mbegu nzuri tu,mazao yakichomoza tu wao mbiooo,,haya Ni matumizi mabaya ya ruzuku!Vijana wa siku hizi mazao yakiota tu wanakuwa wavivu wanakimbia na kulitelekeza shamba. Inambidi waelezwe kuwa hapa nchini kilimo ni uti wa mgongo.
Tatizo ni uzembe wa kupalilia na kuvuna mazao. Halafu jua likipiga kidogo tu vijana wanayaacha mashamba yao na kukimbilia mjini.Hivi tatizo Ni Nini?yaani wanalima vizuri tu,wanapanda mbegu nzuri tu,mazao yakichomoza tu wao mbiooo,,haya Ni matumizi mabaya ya ruzuku!
Itabidi kwenye andiko lako wakumbushwe,Kama wanataka Mali wataipata shambani!Tatizo ni uzembe wa kupalilia na kuvuna mazao. Halafu jua likipiga kidogo tu vijana wanayaacha mashamba yao na kukimbilia mjini.