Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,109
- 2,510
Anza na glasi mbili za maji,telemshia mahindi ya kuchemsha matano,fuatiliza pilipili hoho kama tatu hivi,kandamiza viazi vitamu vinne vilivyoshiba, piga coca-cola tatu za chap-chap bila kupumzika,alafu endelezea kutafuna kilo tatu za mbuzi, nyunyuzia maziwa lita moja na nusu na ukamilishie slace moja ya mkate kabla ya kutundulizia mihogo mikavu miwili na bila kusahau umaliziaji wa firigisi kavu nusu.
Hapo ndo utakuwa umeshiba vizuri kabisa...
Hapo ndo utakuwa umeshiba vizuri kabisa...