Jinsi ya kuscreenshot ktk Samsung J1 ace

Jinsi ya kuscreenshot ktk Samsung J1 ace

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Jamani anayeelewa jinsi ya kuscreenshot kwakutumiaa galaxy J1 ace anisaidieeee maaana nimejaribu nimeshindwaaa yani Imekua tofauti na nilivyokuaaa nascreenshot kwenye Huawei
 
Inanielekezaaa lakini kilanikifanya hivyo haikubali
 
Kuna Njia rahis,Nenda Playstore download screen
Shot App utumie. Screenshot ultimate au chagua just screenshot.
 
home button + power button. Bonyeza kwa pamoja. Yan bonyeza button ya mbele ya screen, na hyo moja ya pemben upande wa kulia wa simu, kwa pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom