Gwaks makono
Senior Member
- Aug 27, 2011
- 109
- 16
Nenda Google then download "Realplayer downlaoder", hop u'll enjoy it.jamani naombeni msaada wa kusave videos mabzo umeidownload katika website mbalimbali manake naishia kuangalia tu lakini nikitaka kusave nashindwa msaada pliz mwenye kufahamu shukrani mbele..................
kwa win 7 IDM inatengeneza folders ndani ya folder la Downloads. extension za .mp3, .aac and .wma (mziki) zinawekwa kwa folder la Music, za .exe (programs) ndani ya Programs na .rar & .zip ndani ya folder ya Compressed na za videos (.mp4, .mkv, .flv, .avi) ndani ya folder la VideosMaelezo umepata ya kutosha ila hizo option zote hata km ni IDM mwisho wa kudownload huwa kuna save au open na wanakuwekea file la Download ktk My Document hivyo anzia hapo ukikosa. Search
kwa win 7 IDM inatengeneza folders ndani ya folder la Downloads. extension za .mp3, .aac and .wma (mziki) zinawekwa kwa folder la Music, za .exe (programs) ndani ya Programs na .rar & .zip ndani ya folder ya Compressed na za videos (.mp4, .mkv, .flv, .avi) ndani ya folder la Videos[
nashukuru sana mdau kwa maelezo yako mazuri lakini yamekaa kitaalamu zaidi hapo yani umeniacha mbali sana

Mweeh,kumbe hapa kuna utaalamu wahusika
Mkuu najua atakua anatumia youtube hama hasa...mtazamaji wa streeming video .... kuna apps nyingi za kudownload....but kwa kifupi tafuta "atubecatcher" nimeitumia kwa almost miezi 4 now...naiko poa kwani... unachofanya ni kukopi na link.... kutoka youtube na kupaste... kwenye... atubecatcher.... // ni bora maana ikimaliza kudownload inaencode ( convert) video automatic kuwa mp4,wmv,avi etc ...... icheki google na nifree