Jinsi ya kusave video downloaded from internet

Gwaks makono

Senior Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
109
Reaction score
16
jamani naombeni msaada wa kusave videos mabzo umeidownload katika website mbalimbali manake naishia kuangalia tu lakini nikitaka kusave nashindwa msaada pliz mwenye kufahamu shukrani mbele..................
 
Tafuta Internet Download Manager (IDM) ama Youtube Video Downloader (YTD). Pia kuna option nyingine nyingi tu. Kwa kuanzia hizi zitakufaa.
 
mkuu umenichanganya unaposema ume download af tena umeshindwa kusave!! Ok. njia rahis nnayoifaham mimi nikuchukua address ya video na kuiweka kwenye download management software kama idm then unaidownload na kusave unapotaka.
 
Maelezo umepata ya kutosha ila hizo option zote hata km ni IDM mwisho wa kudownload huwa kuna save au open na wanakuwekea file la Download ktk My Document hivyo anzia hapo ukikosa. Search
 
jamani naombeni msaada wa kusave videos mabzo umeidownload katika website mbalimbali manake naishia kuangalia tu lakini nikitaka kusave nashindwa msaada pliz mwenye kufahamu shukrani mbele..................
Nenda Google then download "Realplayer downlaoder", hop u'll enjoy it.
 
Maelezo umepata ya kutosha ila hizo option zote hata km ni IDM mwisho wa kudownload huwa kuna save au open na wanakuwekea file la Download ktk My Document hivyo anzia hapo ukikosa. Search
kwa win 7 IDM inatengeneza folders ndani ya folder la Downloads. extension za .mp3, .aac and .wma (mziki) zinawekwa kwa folder la Music, za .exe (programs) ndani ya Programs na .rar & .zip ndani ya folder ya Compressed na za videos (.mp4, .mkv, .flv, .avi) ndani ya folder la Videos
 
kwa win 7 IDM inatengeneza folders ndani ya folder la Downloads. extension za .mp3, .aac and .wma (mziki) zinawekwa kwa folder la Music, za .exe (programs) ndani ya Programs na .rar & .zip ndani ya folder ya Compressed na za videos (.mp4, .mkv, .flv, .avi) ndani ya folder la Videos[
nashukuru sana mdau kwa maelezo yako mazuri lakini yamekaa kitaalamu zaidi hapo yani umeniacha mbali sana
 
Mweeh,kumbe hapa kuna utaalamu wahusika
 
Mkuu najua atakua anatumia youtube hama hasa...mtazamaji wa streeming video .... kuna apps nyingi za kudownload....but kwa kifupi tafuta "atubecatcher" nimeitumia kwa almost miezi 4 now...naiko poa kwani... unachofanya ni kukopi na link.... kutoka youtube na kupaste... kwenye... atubecatcher.... // ni bora maana ikimaliza kudownload inaencode ( convert) video automatic kuwa mp4,wmv,avi etc ...... icheki google na nifree
 
Sikiliza fungua browser kisha weka link hii KeepVid: Download and save any video from Youtube, Dailymotion, Metacafe, iFilm and more! ikishafunguka
Baadaye kakopi link ya ile utube movie yako, weka hapo kwenye kiboksi utakachoona kwenye keepvid.com fuata maelekezo machache finished una movie yako kwa format uliochagua bila chenga wala mikwaruzo.
Nasema hivyo kwa sababu Mozila sasa hivi ndio inatumiwa na wengi na hii mozila mpya wamefunga ile kitu ilikuwa inaturuhusu kushusha movie kirahisi kutumia IDM na kuifanya IDM kama pambo!
 
nime install lakini nimeshindwa ku cop hizo link na ku past,naomba unielekeze zaidi!samahani sana kwa kukusumbua maana wengine hatuna maujanja ya atubecatcher

Back
Top Bottom