Jinsi ya kusafisha uke


Bora mkuu ulivyo wapa darasa maana wa boa sana
 
Sabuni ni noma coz zinauwa bakteria walinzi, so kitumbua kitakuwa easily attacked na bakteria waharibifu.....

Na hizo sabuni maalum ni huko kwenu huku kwetu uswazi tukishanunua Foma limao ya mche ndio tumeua ndege wa be (wawili) kwa jiwe moja....kuoga na kufulia...
 

Seriously..yani skuiz kila mtu anatufundisha...inashangaza kwakweli
Mbona nyie hamjifundishi ya kwenu
Arrrgh
 

...nyie mna bagia... maana kila sura na umbile
 

Duh kwa hiyo uke unasuguliwa kama jinzi...
 
lol!!!! kwi kwi kwi kwi kwi wewe ungekuwa mchekeshaji ungeingiza sana aisee yaani majibu yako huwa yananichekesha sana dah!!!!
ushawahi kuwinda ndege eeh muda ule umekapiga hakajafa unakapuliza puliza down ili kasife teh ndo madame b ananfananisha mie hana adabu lol....
 
ushawahi kuwinda ndege eeh muda ule umekapiga hakajafa unakapuliza puliza down ili kasife teh ndo madame b ananfananisha mie hana adabu lol....

Au kuku ageuze mkia wake panapotokea upepo.

Sasa shemeji ndo upepo, wewe ndo kuku....hahahahahah.....uwiiiiiii
 
aaaah we sithubutu mie acha litambae kama tembele tu

Kula five mummy....raha ya pitch kuwe na nyasi...sio unakutana upara.

Mie wa kwangu nimeshamuelewesha, yaani sasa hivi kabla ya kuanza inanibidi kupitisha chanuo ili kuona njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…