Jinsi ya kusafisha uke

Jinsi ya kusafisha uke

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Habari zenu wakuu.

Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko humu na sehemu nyingine wanaume mwenzangu wakilalamikia hiki kitu.

i) Wewe kama mwanamke inabidi uwe unajiswafi vizuri na kutumia maji mengi kila baada ya kwenda chooni.

ii) Jitahidi kila siku uwe unajiswafi kwa sabuni mara mbili usiku na mchana.

iii) Kila unapoenda chooni baada ya kujiswafi vizuri basi ni vizuri ukatumia toilet paper kukausha maji katika sehemu hizo za siri. kausha vizuri kabisa mpaka maji hayo yakauke.

iv) Usiwe unapenda kulala na chupi ili hewa ipate kupita vizuri.

v) Mwisho kumbuka kubadilisha chuppi kila siku.

Fanya hivi kila siku uone utakavyokuwa msafi na mwenye kuvutia katika sehemu zako za siri, no harufu wala bugdha yeyote itayokuwa inatoka huko.

Ni rahisi sana dada zangu si mnaona.
 
hatari zenu wakuu,

Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko humu na sehemu nyingine wanaume mwenzangu wakilalamikia hiki kitu.

i) wewe kama mwanamke inabidi uwe unajiswafi vizuri na kutumia maji mengi kila baada ya kwenda chooni.

ii) jitahidi kila siku uwe unajiswafi kwa sabuni mara mbili usiku na mchana.

iii) kila unapoenda chooni baada ya kujiswafi vizuri basi ni vizuri ukatumia toilet paper kukausha maji katika sehemu hizo za siri. kausha vizuri kabisa mpaka maji hayo yakauke.

iv) usiwe unapenda kulala na chupi ili hewa ipate kupita vizuri.

v) mwisho kumbuka kubadilisha chuppi kila siku.

fanya hivi kila siku uone utakavyokuwa msafi na mwenye kuvutia katika sehemu zako za siri, no harufu wala bugdha yeyote itayokuwa inatoka huko.

ni rahisi sana dada zangu si mnaona!

Wewe kama mwanaume una mamlaka gani ya kutoa nasaha za namna wanawake wanavyopaswa kusafisha vitumbua vyao?

Watu wengine bana!
 
Sabuni ni hatari ktk uke... Inasababisha fungus yaan balaa

kuna sabuni maalum wanauza kwa kusafishia uke. hujawahi kuziona dada! kama hazipo ni tz ila nilishawahi kuziona nchi fulani.
 
Wewe kama mwanaume una mamlaka gani ya kutoa nasaha za namna wanawake wanavyopaswa kusafisha vitumbua vyao?

Watu wengine bana!

kuna ubaya gani mkuu. mbona tunaishi nao majumbani mkuu! kama tunafahamu kwanini tusiwafundishe.
 
Sasa wewe una vyote viwili maana umesema ww ni kaka,umedesa kwa mkeo au umesoma kwenye mtandao? kama umesoma kwenye mtandao tuwekee hiyo link watu wasome wenyewe,ila asante kwa ilimu dunia.
 
Bado ni hatari... Binafsi naogopa saan hata ctaki sabuni ipite mitaa hyo ya ikulu yangu maan najua madhara yake
Ni kweli kama sabuni nyingine zinachubua ngozi ya kawaida sembuse kunako,hata hivyo hebu dada funguka ww unatumiaga nini kwenye white house yako?
 
Hiv kweli kwa akil ya kawaida,mwanamke wa jf,aweze kuwa na access ya mtandao,ashndwe kujua namna ya kujifanyia usafi bac itakuwa ni vioja,jaman jarbun kukomaa kiakil,as long as uwezo wako wa kufikr n mdogo,usidharilshe watu,btw ss wengne ni maparadise wtu.
Kuna controversy ya kutoshaa juu ya hilo jambo. Fuatilia hii thread utagundua
 
hatari zenu wakuu,

Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko humu na sehemu nyingine wanaume mwenzangu wakilalamikia hiki kitu.

i) wewe kama mwanamke inabidi uwe unajiswafi vizuri na kutumia maji mengi kila baada ya kwenda chooni.

ii) jitahidi kila siku uwe unajiswafi kwa sabuni mara mbili usiku na mchana.

iii) kila unapoenda chooni baada ya kujiswafi vizuri basi ni vizuri ukatumia toilet paper kukausha maji katika sehemu hizo za siri. kausha vizuri kabisa mpaka maji hayo yakauke.

iv) usiwe unapenda kulala na chupi ili hewa ipate kupita vizuri.

v) mwisho kumbuka kubadilisha chuppi kila siku.

fanya hivi kila siku uone utakavyokuwa msafi na mwenye kuvutia katika sehemu zako za siri, no harufu wala bugdha yeyote itayokuwa inatoka huko.

ni rahisi sana dada zangu si mnaona!

Mbona mkuu hapo kuna baadhi ya wataalamu wanasema kuwa sio vema kusafisha Uzima /@K kwa kutumia sabuni, naomba ufafanuzi mkuu Muntat na wadau wengine wa #JF .
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe una vyote viwili maana umesema ww ni kaka,umedesa kwa mkeo au umesoma kwenye mtandao? kama umesoma kwenye mtandao tuwekee hiyo link watu wasome wenyewe,ila asante kwa ilimu dunia.
mkuu maelezo hayo nimeyatoa kwa mke wangu. anafanya hivyo kila siku. msafi sanaaaa. nikaona si vibaya kuwashirikisha. jaribu uone!
 
Back
Top Bottom