Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,786
Hello
Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku
Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa nimechanganya iriki lakini nilitumia maji ya mchai chai kubrend
Baada ya hapo nikaanza kuvipika
Huu ndio mlo
Wa usiku na chai ya maziwa siku imeisha ivyo sio kila siku kununua pika tu mwenyewe