Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
- #21
Ukija tz nunua na ubebeMwaka wa 6 huu, Sijala vitumbua.
Nimejaribu kutafuta kwenye stores na pia kuulizia hizi frying pan za vitumbua lakini nimekosa.
Options nilizopewa nitafute mtu anitengenezee au ninunue kutoka Tanzania.