Jinsi ya kupika uji wa ngano

ngoja nikupe kitu kizuri cha mtoto chemsha karoti zisiize sana blend mpe huo uji kila siku at least vikombe viwili. pia kwenye msosi wake weka bamia nangogwe kiasi . halafu mpe uji wa sembe kwa sana au wa popcorn usimpe ma vitu ya maboxsi .
mamy sembe au dona wanasema sembe siyo nzuri atii
 
Hebu tufundishe na jinsi ya kupika ugali wa ngano aisee maana sembe limepanda bei, ili tupunguze ukali wa maisha
Tunavyofanya sisi!!
Unanunua ngano na kuchambua vizuri, unapeleka mashineni kusaga. Unatoka unga wa brown
Unaeza tumia kupika ugali, maandazi, mkate ata chapati.
Ila mda mwingine tunachanganya na sembe/dona kidogo ili ugali utoke mgumu kama ni mpenzi wa ugali mgumu.
Pia katika kupika maandazi na mikate unaweza ongeza ngano nyeupe kidogo.
 
Pole sana. Kila sehemu kuna namna wanavyopika chakula. Hivyo wewe kuzoea mfumo mmoja usidhani inapply dunia nzima. Ukienda kanda ya ziwa hawajui kuwa kuna ujibwa shanga ila pwani uko
Kweli kabisa... Kila mtu ana upishi wake...
 
unajua kuna visagio vingi sana sema wabongo tumezoea tu blenda .blenda ni la matunda tu na vitu laini kama karanga etc.kuna visagio vigi tu nenda maduka ya vyombo vya mitumba
Kuna haja ya kua na vifaa hivi nyumbani kwa kweli...
 
sometimes kabla hujaandika upuuzi jifunze uelewe rafiki jf ni kisima cha maadifa sasa wewe badala ya kutafakari kwanza hata ukagoogle unaropoka kama kolomije pole sana
Maadifa=maarifa
Hapa kama utaamua kukosoa sana nahisi utajiumiza kichwa tu, mtoa mada anaelewa nilichomaanisha, sio lazima wewe uelewe
Rudi kwenu huko kolomije, mimi wala sikujui
 
Tunavyofanya sisi!!
Unanunua ngano na kuchambua vizuri, unapeleka mashineni kusaga. Unatoka unga wa brown
Unaeza tumia kupika ugali, maandazi, mkate ata chapati.
Ila mda mwingine tunachanganya na sembe/dona kidogo ili ugali utoke mgumu kama ni mpenzi wa ugali mgumu.
Pia katika kupika maandazi na mikate unaweza ongeza ngano nyeupe kidogo.
Aaaah kwel ngoja siku moja ntajaribu nitest ladha yake ikoje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom