Jinsi ya kupika uji wa ngano

Je hayo ni mapishi ya wapi?
Kila sehemu duniani ina aina yake ya upishi. Unalolijua wewe si ninalolijua mimi and viceversa!
Kuna mapishi mbali mbali. Ngano iliosagwa ambayo wengi tunafahamu na aina nyingine unayoifahamu wewe ngano isiyo sagwa, tueleze hiyo unayoijua wewe ili tufaidike wote.
 
Karibu kesho hom, kutakuwa na uji wa ngano, ngano nzima.
warning: marufuku kumwita wifi yako akuongeze ongezee kila mara
 
Samahani unatumia ngano iliyosagwa yenyewe au unachanganya na unga? Kwa upande wako. Na kwa unga ulionunua dukani je kuna ngano ambazo ni nzima nzima?
nasaga ngano yangu na food proccesor hizi ! siachi ikawa unga saana inakuwa nzito kiasi mkuu
 
nasaga ngano yangu na food proccesor hizi ! siachi ikawa unga saana inakuwa nzito kiasi mkuu
Ndivyo hivyo inavyotakiwa sasa watu wanataka wote tupike kama wao. Ila asante kwa kuwa umeahawahi kupika na kujua namna unavyokuwa mtamu
 
Uji wa ngano kweli?
Umekosea, kwanza ngano haisagwi, hiliki hujaweka, mdalasini haumo, hayo labda mataputapu
sometimes kabla hujaandika upuuzi jifunze uelewe rafiki jf ni kisima cha maadifa sasa wewe badala ya kutafakari kwanza hata ukagoogle unaropoka kama kolomije pole sana
 
si nina mpa mambo mapya mwanangu shosti wangu ..
ngoja nikupe kitu kizuri cha mtoto chemsha karoti zisiize sana blend mpe huo uji kila siku at least vikombe viwili. pia kwenye msosi wake weka bamia nangogwe kiasi . halafu mpe uji wa sembe kwa sana au wa popcorn usimpe ma vitu ya maboxsi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom