Jinsi ya kupika ugali wa nazi

Chemsha nazi nzima nzima alafu tumia supu yake kusonga ugali uwe wa sembe au wa dona uamuzi ni wako
 
Kilichonishangaza zaidi anajifanya anaujua umri wangu wakati hata hajawahi kumfahamu baba yangu...
Asituhamishe kwenye maada ya msingi mkuu tusubiri tuone modification ya nazi kuwa ugali ama namna ugali unavyoweza kuwa chakula cha nazi, masuala ya umri wako mwambie awaachie RITA.
 
Asituhamishe kwenye maada ya msingi mkuu tusubiri tuone modifikation ya nazi kuwa ugali ama namna ugali unavyoweza kuwa chakula cha nazi, masuala ya umri wako mwambie awaachie RITA.
Hahahah afu unaweza kukuta hajasajili line yake. Kwahiyo nazi inatengenezewa ugali? Nilikuwa sijaikamata hiyo.. nazi ina njaa sio hahahah
 
Hahahah afu unaweza kukuta hajasajili line yake. Kwahiyo nazi inatengenezewa ugali? Nilikuwa sijaikamata hiyo.. nazi ina njaa sio hahahah
Ni lazima tufikirie nje ya box, mfano ukisema wali wa kuku na wali kuku ni vitu viwili tofauti, kwa kuwa ndugu yetu maada aliyoleta mezani inahusu ugali wa nazi basi muktadha wetu usimame hapo!
 
Ugali wa mahindi uliwekwa nazi au ugali wa unga wa nazi?
Hauwezi kuwa mtamu
 
Back
Top Bottom