Jinsi ya kupika pilau la samaki

Aaliyah kwanini ulinikataa..?
huoni kwa mapishi haya unastahili kabisa kuwa mke wangu, au unajitafutia kurogwa..?
 
Aaliyah kwanini ulinikataa..?
huoni kwa mapishi haya unastahili kabisa kuwa mke wangu, au unajitafutia kurogwa..?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unanitisha au
 
Ila mimi kweli mvivu wa kupika, kumbe niliitwa kufundishwa mapishi 😹😹

Hii siku nahisi nilikua sehemu napiga umbea..!! 🀣
Nilikuwa nakuita uje kula upike umbea umuachie nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo samaki jodari namkubali sana. Siku nijaribu kwenye pilau nione atakuwaje
 
Nilikuwa nakuita uje kula upike umbea umuachie nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haki wifi leo nimeshangaa kwenye huu uzi nilikuwa tagged kabisaaa..!! 😹😹😹
Ss hivi nimeacha notification zote nitaziona..!!
 
Haki wifi leo nimeshangaa kwenye huu uzi nilikuwa tagged kabisaaa..!! 😹😹😹
Ss hivi nimeacha notification zote nitaziona..!!
Unazurura sana wewπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ndio maana tunapiga matalumbeta sana chooni utazani TATA zinazokwenda Geita kwa msukuma.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…