Asiliatz
Member
- Aug 16, 2018
- 97
- 131
- Thread starter
- #81
Boss mimi account yangu ya matangazo (ads account) imefungwa. Kila saa nikitaka kupost inaandika no permission na hii ni baada ya mara ya kwanza kuweka tangazo nikaweka card ya benk ambayo ilikuwa haijaruhusiwa kufanya malipo online tangazo likaanza ila katikati likastop likazingua . Sasa hiv siwez weka tangazo hata kubadili tu payment method inakataa.
Pia nadaiwa na hao kiasi cha pesa kwa ajili ya ilo tangazo lao la kwanza.
Siwezi kuwalipa coz payment method nashindwa kuibadilisha niweke card mpya yenye hela niendelee kutumia
Nifanyaje?
All in all shukrani boss kwa elimu
Shukrani mkuu1
pole kwa hilo tatizo, jaribu kuongeza njia ya malipo husi badili njia iliyopo. nenda kwenye payment settings >> add new payment method.