Wanapatikana wapi?kuna agency moja huwa inafund kind of those project ya kimataifa its an african agency...nahis waliwafund ata tangafresh
Wanapatikana wapi?kuna agency moja huwa inafund kind of those project ya kimataifa its an african agency...nahis waliwafund ata tangafresh
kuna agency moja huwa inafund kind of those project ya kimataifa its an african agency...nahis waliwafund ata tangafresh
kuna agency moja huwa inafund kind of those project ya kimataifa its an african agency...nahis waliwafund ata tangafresh
Kama kuna cha maana nimesoma Jamii Forum Mwaka huu ni pamoja na thread hii japo bado watu hawajafunguka zaidihizi ndio mada za msingi, wenye kujua watujuze jamani.
Hiyo benki ya wakulima Tz ni ipi tena?Nadhani waone Benki ya wakulima Tz wanaweza kukupa maelekezo zaidi
Mbona yapo mengi tu au huna muda wa kusoma dada yangu?Kama kuna cha maana nimesoma Jamii Forum Mwaka huu ni pamoja na thread hii japo bado watu hawajafunguka zaidi
thank you mkuu, though niliskia TIB wanaanzia mitaj mikubwa sanaNadhani waone Benki ya wakulima Tz wanaweza kukupa maelekezo zaidi
ningepata jina la agency hiyo nadhan ingekuwa jibu tosha la mradi wangu.Hiyo agency inaitwaje basi
Nafikri atakuwa anamaanisha "African challenge fund" hebu ingia Google utafute hilo jina watakuletea maelezo yote!ningepata jina la agency hiyo nadhan ingekuwa jibu tosha la mradi wangu.