Ni kweli vijana wengi hawana ajira au wanatafuta mafanikio zaidi; lkn hatuko serious kujenganaNi kweli hii mada inajenga in za watu wengi
kuna agency moja huwa inafund kind of those project ya kimataifa its an african agency...nahis waliwafund ata tangafresh
Thnx ndugu Mzuzu....Inaitwa DoB na link yake hii investment approach - d.o.b. foundation
Ni equity fund na ipo complicated kdg nafikiri inafinance miradi kwenye expansion stage mipya sidhani na wanataka mikubwa
habarini wadau! msaada jinsi ya kupata ufadhili wa mradi binafsi katika masuala ya ufugaji, concept note ishaandaliwa ila sijajua naanzia wap kuipeleka.Asanteni
Thnx ndugu Mzuzu....
Umejuaje kama ni mdada?Mbona yapo mengi tu au huna muda wa kusoma dada yangu?
kAMA NI MKAKA ATAEDIT KICHWANI MWAKE, SIO TUSI JAMANI ..Umejuaje kama ni mdada?
Asante Mkuu pamoja sana....Maisha kujaribu Mpaka kielewekeUNCDF wametangaza call for proposals sasa unaweza kuapply!
Local Finance Initiative: Call for Proposals | UNCDF
Thanks!Asante Mkuu pamoja sana....Maisha kujaribu Mpaka kieleweke
Fafanua ndugu ninini hiyo PASS inafanya nnwaone PASS wana of ice Mwanza, Mbeya,;Moshi, ,Mtwara