Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,652 Reaction score 5,134 Sep 1, 2016 #1 Heloo!! Habari zenu wakuu naomba kusaidiwa jinsi ya kupata fedha youtube maana nasikia tu kwa watu youtube unaweza kugain money sasa mimi kwangu ngumu naombeni maujuzi yenu.
Heloo!! Habari zenu wakuu naomba kusaidiwa jinsi ya kupata fedha youtube maana nasikia tu kwa watu youtube unaweza kugain money sasa mimi kwangu ngumu naombeni maujuzi yenu.
Mr Mose JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 369 Reaction score 529 Sep 1, 2016 #2 Unaacount huko ambayo una upload vitu??
A Abdallah404 Member Joined Feb 17, 2014 Posts 61 Reaction score 21 Sep 1, 2016 #3 Mr Mose said: Unaacount huko ambayo una upload vitu?? Click to expand... nitafute 0768 449 989
Mr Mose JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 369 Reaction score 529 Sep 1, 2016 #4 Vp kwani Abdallah404
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,652 Reaction score 5,134 Sep 1, 2016 Thread starter #5 Mr Mose said: Unaacount huko ambayo una upload vitu?? Click to expand... ndio
BabM JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 1,166 Reaction score 956 Sep 2, 2016 #6 ebwana na mimi ninaaccount naitumia zaidi ya mwaka sasa kumbe naweza nufaika pia