Jinsi ya kupata pesa youtube!

Jinsi ya kupata pesa youtube!

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,679
Reaction score
5,165
Heloo!! Habari zenu wakuu naomba kusaidiwa jinsi ya kupata fedha youtube maana nasikia tu kwa watu youtube unaweza kugain money sasa mimi kwangu ngumu naombeni maujuzi yenu.
 
ebwana na mimi ninaaccount naitumia zaidi ya mwaka sasa kumbe naweza nufaika pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom