Jinsi ya kupata pesa na online survey

Jinsi ya kupata pesa na online survey

online surveys kuna hela ya vocha tu usipoteza muda wako
 
Msaada online survey ni kitu gani na unafanya vipi kupata pesa ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hazina ela utapoteza muuda aisee piga freelancing kama hivi mwezi wangu unaanza tarehe 6 shaingiza zaidi ya 2mls hapo ni platformmoja nikienda upwork nako nishaingiza kama laki nane
1588185118875.png

Survey hazina deal
 
Upwork dah kupta kazi ngumu bro sijui kwa sababu mimi ni begginer

Wananipita tu na proposal napangilia fresh
Hizi hazina ela utapoteza muuda aisee piga freelancing kama hivi mwezi wangu unaanza tarehe 6 shaingiza zaidi ya 2mls hapo ni platformmoja nikienda upwork nako nishaingiza kama laki nane
View attachment 1434878
Survey hazina deal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabid ubid kazi unazoona unazimudu na utazifanya mimi napenda sana ongoing projects yani ukibid mara moja ukaipata ni inaendelea mika na miaka
Mkuu kwa sie watu ambao ni darasa la 7b ni kitu gani tukijifunza tunaweza kuanza kufanya kaz kama freelancer ndani ya muda mfupi au huko kunahusu wenye elimu na ujuzi wa mavyuoni?. msaada mkuu
 
Mkuu kwa sie watu ambao ni darasa la 7b ni kitu gani tukijifunza tunaweza kuanza kufanya kaz kama freelancer ndani ya muda mfupi au huko kunahusu wenye elimu na ujuzi wa mavyuoni?. msaada mkuu
Any talent, graphic designing, voice-over, data collection, marketing yani skill yoyote ambayo unaweza kuifanya remotely mkuu
 
Back
Top Bottom