jinsi ya kupata password kwenye iphone 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsi ya kupata password kwenye iphone 4

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kamikaze, May 3, 2011.

 1. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  wadau naomba tena msaada wenu, naomba mnijulishe kama kuna njia nyingine ya kupata password ya mtumiaji wa iphone ili aweze kudownload programmes na vitu vingine.Nimejitahidi kuregister ili kupata passsword lakini tatizo ni kwamba kuna page ya kujaza details ya viza, je kuna njia nyingine mbadala ya kupata password au kudownload bila kutumia password?
   
 2. m

  massai JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hiyo simu ndugu yangu,ni zaidi ya simu!! rudi uliko inunua wakupe kadi yake,full manual book,inasehemu yakujaza alafu wanairudisha,wanaituma kwenye kampuni ya billgate,ukipata mtumiaji mzuri wa hiyo simu akiweka password yake hata uende wapi hutokaa ui unlock,tena chukua tahadhari mapema kama umeipata kimjini mjini unaweza kuwa wanakutrack,inamambo mengi sana hiyo kitu.cheki manual book yake vizuri ukikosa google,maswali yakiwa mengi sanuka.
   
 3. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hapo unatakiwa utengeneze a free itunes account,,angalia hapa instructions (Create Free iTunes Account without Credit Card | The Apple Daily) itakuwezesha kudownload free applications from Itunes..vile vile kama Iphone yako ipo jailbroken and unlocked unaweza ku Install program inayoitwa 'installous' kupitia Cydia iliyopo kwenye menu yako..Installous itakuwezesha kuDownload and Install cracked applications, games, books, utility programs na vitu vingi Bure,,,:israel::israel:
   
 4. i411

  i411 JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Iphone 4 massai inatengenezwa na apple bwana chini ya ulinzi wa Mzee Steve jobs siyo billgate yeye alisha staafu mambo ya technology sikuizi anaangalia kwa mbali tuuu. jamaa hapo juu anaomba jinsi ya kufungua accaunt kupata aplication za hii iphone. hii iphone ni mchezo mwingine siyo kama nokia lazima ujiandikishe kwa apple computers kufurahia kasimu. uzuri wake ukijiandikisha mtu akikuibia kasimu unaweza ukamtafuta na gps trac ya simu na ukampata
   
 5. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama unataka kufungua account kwa kutumia simu fata maelekezo haya.Go to the App store ifungue itakuuliza password au itakuuliza new acount jibu new account itakuuliza nchi uliyomo nyingi zimeandikwa USA,sasa hapa kwenye nchi uliyomo usijaze Tanzania kwani sisi hatuna wakala wa apple ila tuna maduka tu ya kuuza vifaa vyake ambayo yako town na msasani,jaza kenya coz wana wakala wa apple,kwenye swala la sasa la password na user name itabidi uwe na email na email yako ndio itakuwa username yako na password yako ya email ndio itakuwa password yako ya kununulia vitu,free apps ziko nyingi sana kuliko paid apps ningekushauri uwe unadownload free,kwenye Itunes click store ikifunguka utakuta create account unajaza form kama nilivyokuelekeza juu.
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Nadhani mkuu kaeleza vyema sana...unatakiwa lutumia kadi yako ya visa au mastercard ili ufungue Itune account ili uweze ku download free apps na hata kununua...Tatizo Tanzania haipo listed so ingiza uganda na mambo yatakuwaa poa.
  kumbuka ukiingiza details za kadi yako ya visa haiwezi kubali hadi uende bank yako kui register for online transactions.
   
 7. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  fungua itunes store yenyewe,tafuta free app mfano facebook..then click kwenye link ya kudownload,itakuomba info za acc yako,click create new account...jaza info zote na kwnye sehem ya kuingiza mambo ya credit card select FREE..nakushauri uchague marekani kama nchi uliyopo coz store yake ndo ina apps zote,kwenye adress na namba ya simu tafuta adress yoyote ya marekani unayoijua na namba ya cm..mm nlibuni!!! Ukimaliza hizo step u r gud to go but ts best if u JB ur fone!!!!
   
 8. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tatizo ya kujaza USA kuna sehemu za code number ya jimbo kama ukikosea ukaandika ya uongo process inakataa nimesema Kenya kwa kuwa hawana mambo ya area code kama Marekani wao wapo kama sisi so kipengele cha area code hakipo,na jambo jingine itakuomba uweke social security number sasa na hiyo hauwezi kubuni kwani ukibuni mambo yatakuwa ni yaleyale.
   
 9. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Wote nawashukuru sana kwa michango yenu, hofu yangu kubwa ilikuwa kuweka details za viza isije nikakuta account yangu ya benki haina kitu, ngoja nijaribu hiyo option ya free account
   
 10. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Usijaribu kuweka viza card number yako kwenye net watu sasa hivi ndio kazi zao hizo kuchomea pesa kwenye acc za watu kwa kutumia mitandao.
   
Loading...