We tuliza boli tu utaona watu mnashabihiana vitu vingi sana hao ni kundi la kwanza, lakini wapo watu wanajua vitu humu ambavyo huvijui utasoma na kuelewa lakini usiwe mchoyo watu watauliza juu ya uyajuayo eleza!!!!
Watu watagombana humu play your role hata kwa advice tu opely au privately mwisho utajikuta una ndugu humu achilia marafiki!!!!!!
Msome
The Boss hapo, kama unaoenda masongi kaa na
BAK karibu, kama ni mizinga proof
Evelyn Salt huyooo, kama unataka mastory njoo kipande hii ila kula na kulala kwenu!!!!!
Kama kuna mtu anakuletea ubabe tuna
Kaka Jambazi humu...lakini ukizingua utapigwa @gumi la pua! !!!!!
Masuala ya njaa
supu ya mawe inapatikana au afya mgogoro aje @dr mo. ..???!!!!
Wapo marafiki humu na.ndugu pia!!!!!!