Jinsi ya kupata kitabu mtandaoni

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Naomba kuelekezwa kama kuna mtu anajua jinsi ya kudownload kitabu chochote mtaandaonii au kma kuna njia ya kupata softcopy ya kitabu husika anisaidie au kama kuna website naomba anipe
 
andika download jina la kitabu, jina la mwandishi na mwaka wa kuchapishwa na mwisho aina ya file unayoitaka. mfano download escrow, kamati ya bunge 2014.pdf
 
every thing kwenye Google.com hakikisha tu una app ya PDF reader or PDF viewer ila app nzur kweny kusomea vitabu ni adobe reader then ukitafuta kitabu chochote kwenye Google start with PDF then jina la kitabu.Google itakupeleka kwenye link tofauti×2 zenye hcho kitabu
 
Thankx mkuu
 
Back
Top Bottom