Jinsi ya kupata free domain

Jinsi ya kupata free domain

Mimi Fulani

Senior Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
180
Reaction score
125
Naomba msaada kwa mtu anayeijua websites ambayo naweza kupata free domain nina blog ya blogspot nataka kuanza kuitumia, hata kama unaweza kunitengenezea domain funguka tusaidiane
 
Domain ya Example Domain lazima uilipie kwa ufahamu wangu. Na kama una blog unataka kuingia .com peke yake basi huna budi kutoa kiasi kitakachokupa access kwa domain ya .com
 
Naomba msaada kwa mtu anayeijua websites ambayo naweza kupata free domain nina blog ya blogspot nataka kuanza kuitumia, hata kama unaweza kunitengenezea domain funguka tusaidiane

top level domain zote ni za kulipia labda kama unataka dot tk. dot ga au second level domain names zipo za bure kibao
 
.
Kiongozi
.cc na .co zote google wali zi ban..
.
CO.CC's General Manager Fights Back Against Google

hapo hujaelewa .cc ndio domain wakati .co.cc ni kama subdomain tu.

mfano wake mimi ninunue domain ya .cc halafu iitwe mama.cc then na mimi nianze kusambaza subdomain watu watengeneze

jamiiforums.mama.cc
michuzi.mama.cc

hapo juu link umeeka co.cc ndio imefungiwa na sio .cc yenyewe

cc haiwez fungiwa sababu ni country top level domain ya cocos island kwa ushahidi kuwa ipo google search maneno haya SHIRE.CC
 
Naomba msaada kwa mtu anayeijua websites ambayo naweza kupata free domain nina blog ya blogspot nataka kuanza kuitumia, hata kama unaweza kunitengenezea domain funguka tusaidiane

Ndugu acha ubahili.

Mimi nilinunua domain ya .com toka kwa godaddy, kwa Dola 1, inamaana kama 1600/- Tshs tu.
Unanunua kupitia coupon.
Ila kwa bure kabisa sijawai ona aisee!
 
Ndugu acha ubahili.

Mimi nilinunua domain ya .com toka kwa godaddy, kwa Dola 1, inamaana kama 1600/- Tshs tu.
Unanunua kupitia coupon.
Ila kwa bure kabisa sijawai ona aisee!

ivi izo coupon zinafanya kazi huku kwetu kweli? ulishawahi kununua kwa coupon code?
 
Back
Top Bottom