Jinsi ya kupata fl studio pamoja na pack zake zote

kingkimbe

Senior Member
Jul 11, 2017
109
45
wakuu habari kama kichwa kinavyojieza naomba msaada mimi nataka kutengeneza instrumental na ninayo fl studio lakini hipo demo sasa kwa wanaojua wapi naweza kupata hyo fl studio 12 iliyo full registered pamoja na vst plugin kibao kama unaweza naomba unitumie au nitumie hata link asanteni nawasilisha hoja. niliotengeneza hyo hapo chini bado kunavitu nimekosa
 

Attachments

  • 1.mp3
    737.8 KB · Views: 72
Mi nilishindwa kupata aisee nikaamua kuachana nayo kwa sasa nipo na Cakewalk na LMMS na zinakidhi mahitaji yangu kwa sasa japo hiyo FL naitafuta bado..
 
Mi nilishindwa kupata aisee nikaamua kuachana nayo kwa sasa nipo na Cakewalk na LMMS na zinakidhi mahitaji yangu kwa sasa japo hiyo FL naitafuta bado..
Changia pesa ya nauli nikutumie CD...fully
Ukihisi ni utapeli wala usikoment pita kimya Boss
Takutumia toka Moro kuja ulipo
Hapo nichangie elfu 20 tu naweka wazi

Na burn, nakutumia
Inbox ..tutakubaliana njia borabza kuaminiana
 
Nunua bando la airtel 10GB kwa buku jex kisha ingia 1337x.to tafuta fl studio 20. Download bure bila pesa yoyote kutoka kwa mtu yeyote mahali popote, muda wowote. File lina 1GB tu. Hakikisha una Utorrent.
 
Back
Top Bottom