cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 397
hakuna kama adsense aiseeeAlafu kwa uzoefu ipi inalipa vizuri kati ya adsense na propeller?
hakuna kama adsense aiseeeAlafu kwa uzoefu ipi inalipa vizuri kati ya adsense na propeller?
ni rahisi sana kama una viewers kuanzia 50,000 kwa siku..wa kwenye search engine njoo p.m unapata adsense mara moja bure(free)Unafanyaje kupata adsense kama blog yako haina miezi 6? Na unapublish kwa kutumia kiswahili????
Unanijibu mimi mkuu?Google Salaniacomplex kwa sasa Niko bize na kitabu
kwa siku unapata viewers 5000Hata mimi hawafiki 5,000. Tena hao ni wa source zote
Kama mwezi hivi mkuuBlog yako ina muda gani??
Kama mwezi hivi mkuuBlog yako ina muda gani??
Duh! Inabidi uwe na magrup kibwemaMe source ya whatsapp tu huwa nafikisha 2000+ per day
Duh! Umeshaweka adsense?[emoji13] [emoji13] [emoji13] nna group kama 70 hv
Nichecki hapa nikusaidie:0758297744Wadau naomben kwa atakayenihurumia anirekebshie blog yangu iwe vzur kila kitu 0746510577