Toz ni mtanashati sizungumzii wavaa milegezo anyway wapo matoz wa kila aina wakiwemo Mario,matapeli n.kNimechoka kuwa mtazamaji ngoja na mimi leo niwakilishe. Nazungumzia namna ya kumpata demu mzuri wa umbo + sura si mnajua MATOZ hawapendi vinyago.
4/ACHA MAIGIZO
Mwanzo nilidhani huu uzi ni kwa wote ila nimegundua inawahusu matoz....halaf mi ninavyojua TOZI & MUIGIZAJI ni mtu yuleyule...toz ni mtu wa kufake life.....
wewe umeandika maoni yako afu unataka watu wayakubali? waswahili bwana sijui mkojeSasa comment yako ndo INA jipya gani......itakuwa unachunwa ndo imekuuma !!
Ww ndo mswabili.....
Unatlazimisha reply ikubaliwe
wewe bora ungebaki tu mtazamaji. hizo mbinu zako ni za kitoto sana. wanawake siku hizi ni pesa tu jombaa. awe mzuri asiwe mzuri, ubitoz pelekeni uswahili kwenuNa ww unataka nikureply jibu unalowaza ww?
Unaonekana unalazimisha kick .....wewe bora ungebaki tu mtazamaji. hizo mbinu zako ni za kitoto sana. wanawake siku hizi ni pesa tu jombaa. awe mzuri asiwe mzuri, ubitoz pelekeni uswahili kwenu
Sana tu! Unamwambia tu kuwa unataka papuchi baaasi....!!!Kuimbisha rahisi
![]()
![]()
![]()
DUH, KWAHIYO NIKIFANYA HIVYO NITAKUWA NAWEZA TONGOZANenda baharini ukaoge uondoe vundu liiywalo domo zege
![]()
![]()
![]()
![]()