Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Kuna mshkaji mnaijeria huko urusi alipata demu mkaliiiii kipindi cha summer, demu akamwambia waende kuogelea jamaa akakubali ila alikuwa hawezi kuogelea, wakaenda moscw river una kina kirefu sana demu kajitosa kaogeleaaa katoka, jamaa naya kajitosa .. Dadeki .. Akanywa mimaji akafa.

Ilikuwa mwaka gani huo pia mshakaji alikuwa chuo gani au anapiga kazi za kitaa.
 
Michicha milenda ndo menu yang na ya kuku mateke.... ugal bugurun na mboga temeke.... asb mchana pakavu jion ndo kuna futar,
 
1469857096386.jpg
 
Back
Top Bottom