Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Habari za jioni.
Tanzania inaongoza barani Afrika kuwa na watumiaji wengi wa Mtandao wa Instagram. Wapo wanaotumia mtandao huu kwaajili ya biashara na wapo wanaotumia kinyume na jinsi inavyotakiwa. Kutokana na Umaarufu wa Insta kuongezeka kwa kasi sana,watu wamekuwa wakitumia mbinu mbali mbali ili kujiongezea followers. Wapo ambao wanaweka hadi picha za ngono ilibkuwavutia watu zaidi. wengine huwa wanafocus kwenye Umbea na Udaku ili kujipatia umaarufu na kuongeza followers. Ili kuepuka yote hayo nimekuandalia video elekezi itayokuonesha jinsi ya kupata followers zaidi ya 100 ndani ya dk5(kama ukifata hatua vizuri)
Angalia video hii na kama una swali lolote karibu nitakupa majibu in sha Allah.