Jinsi ya kuongeza followers instagram

Jinsi ya kuongeza followers instagram

Stupid,why lazima wakufollow wewe kwanza?hapo na wewe unafuta followers tu,period
 
ukitaka followers wengi wewe jitoe ufahamu tu kama gigy money na james delicious
 
Wangapi mmefanikiwa kwa njia hii.? Kwasasa unaweza kumfollow na kumuunfollow Diamond tu na utapata followers wa kibongo kibao. fanya hivyo kila baada ya Dakika1 na usizidishe mara 1000 kwa siku utafungiwa.
 
Hahaaaaa hapa jamaa na yeye anatafta followers na likes kutoka humuhumu ndan!! Daaah
 
Back
Top Bottom