Jinsi ya kuongeza followers instagram

Jinsi ya kuongeza followers instagram

Daaaah unafeli sasa mkuu.Nilianza kukuelewa ila uliposema tuwe tunalike picha zako tu nimeshtuka.
sasa usipo like wale followers wanakimbia. just try utaona wanakufollow bt usilike picha zangu then u will see nini itatokea
 
Ndo mana nikasema fuata hatua zote kama nilivyoelekeza ukiskip moja basi umeharibu system.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha ukanjanja mkuu.
Hapa naandaa part 2 hii kidogo hatua zake ni nafuu itakufaa sana wewe kama hutaki kulike picha zangu
 
Sio kwamba sitaki kulike mkuu...kwani itanigharimu nini?
Basi tu...
Poa,fanya hivyo.
 
Hapa naandaa part 2 hii kidogo hatua zake ni nafuu itakufaa sana wewe kama hutaki kulike picha zangu
Sasa akaunti umeweka 'private' kwanini na wewe! Haya hebu kaaccept request yangu nione hii "experiment" kama kweli yaliyomo yamo??
 
Hahahaa Yani ukiniunfollow utaona mmoja mmoja anakuunfollow na wewe

Ndo mana nikasema fuata hatua zote kama nilivyoelekeza ukiskip moja basi umeharibu system.

Acha kudanganya watu kwa ujanja ujanja. Hyo kitu inaweza kufanya hata bila kuku follow ww. Sema unatumia watu kutokujua ili upate followers wengi.
Iko hv ukiwa follow na kuwa unfollow watu maarufu km akina Mess, Beyonce na wengneo kuna watu wata kufollow pia. Kuna sehemu wanaona fulan kumfollow/un follow flani na wao wana kufolloe. Hilo jambo nmelifanya bila hata kukufollow ww na limewezekana. Na wanaoku follow ni wazungu tu na page za nje.
Acha ujanja wa kutafuta followers kwa kiasi hcho.!!
 
vipi nikuelekeze jinsi ya kupata followers wa kibongo.? ama na hiyo unaijua pia.?
 
Back
Top Bottom