Jinsi ya kuondoa SAFE MODE kwny SIM ya android...

Jinsi ya kuondoa SAFE MODE kwny SIM ya android...

MJUNKI

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
65
Reaction score
18
Wana JF SIM yangu kila baada ya masaa mawili inakuwa kwny safe mode,then apps zote zinapotea kwny display..nikireset inakuwa ok but baada ya 2 hrs inarudia tatizo lilelile..no Samsung NOTE TWO..advice plz
 
Hii huwa ina kera sana hata jamaa wa Samsung hawajui ila huwa inaondoka yenyewe,jaribu kuzima na kuwasha.
 
Back
Top Bottom