Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,627
- 5,258
Anha ila,wengine wagumu hizo mambo ujue just tuwekee mfano chifu hapa kwa faida ya wengine pia plzkwenye official specification za simu wanaandika.
Anha ila,wengine wagumu hizo mambo ujue just tuwekee mfano chifu hapa kwa faida ya wengine pia plzkwenye official specification za simu wanaandika.
Mkuu tafadhali naomba niambie app nzuri ya android kwa ajili ya kuangalia epg tv guide ya tv channels maarufu kama vile discovery science, natgeo gold, natgeo wild, etv, discovery investigation e. t. c kwa sababu katika king'amuzi changu cha azam mara nyingi nikibonyeza ile button ya epg ili niangalie ratiba ya vipindi huwa naambiwa no epg information available na matokeo yake nakosa au napishana na vile vipindi vizuri![emoji120] [emoji120] [emoji120]kwenye official specification za simu wanaandika.
angalia ratings za betri ya simu yako hapo angailia voltage na current tuanzie hapoNimekuwa nikihangaika sana nikinunua simu na charger yake hasa hizi mnazoita smatphone ndo napeta kitu kinacharge 30 min uko 100% ,sasa nikipoteza tuuu ukilaza wangu unaanza ninyanyasa mwanzo nilijidanganya kununua machata makubwa huawei sumsung etc holaaa badae nikahamia kununua za bei kubwa nkapata charger ya infinix wakaniuzia 32,000 kutumia nusu saa inacharge 10% nikaenda duka lingine nikaikuta ile ile charger bei 8,000 tena pungufu naongea ,kichwa kikalia ngwiii nikajua mimi ni kama wale maprofesa wa makinikia (natania) sasa wakali wangu nipeni ufundi nafanyaje kupata charger inayoijaza simu ya smartphone kwa spidi kali '
Hili linatusumbua vilaza wengi najua!