Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 571
Ayaaa. Mnunuzi ni rafiki yako wa karibu ???? Diuu hii kali!!!
Yaani madalali wamekuwa kero miji mingi Tanzania hasa jiji la Dar, wiki chache zilizopita gazeti moja liliripoti kuwa kuna madalali mpaka ikulu wanaotapeli watu kwa kusema wanawatafutia ajira ofisi ya raisi.
Sasa wewe ukitaka kumzunguka dalali, unaweza sema unataka kiwanja then yeye ataenda kukuonyesha hicho kiwanja na baada ya yeye kukuonyesha hicho kiwanja unamwambia ngoja nikafikirie then ndani ya wiki hii nitakutafuta.
Baada ya hapo we kesho yake unarudi mpaka kwenye kile kiwanja unawauiliza majirani nani ni mmiliki wa hicho kiwanja utaambiwa ni fulani na anaishi wapi na utaomba namba yake ya simu kisha unampigia simu unamueleza shida yako, mtapanga jinsi ya kuonana kisha unafanya manunuzi. Utakaposhangaa ni pale mwenye kiwanja atakwambia kiwanja anauza milioni 8 wakati dalali alikwambia kinauzwa milioni 20.
NB: Tumia ujanja huo au unaofanana na huo na unaweza kuuboresha zaidi katika madalali wa kila aina waotaka pesa za bure kwa kushinda vijiweni
Nyumba moja ataonyesha kwa watu hata 20 kwa siku!

Kiukweli hawa jamaa wababoa na kila kukicha wanazidi kuongezeka na kujikita kila mahali. Hata sokoni ukienda mkulima/mfanya biashara hana nafasi ya kuamua bei bali madalali.
Siwapendi na nikishajua na deal na dalali siendelei tena na hiyo biashara.
Najua hata humu wapo, hapo juu nimewasoma na nitaendelea kuwasoma lakini siwapendi. Jitu zima linakaa mjini halifanyi kazi unasubiri mtu ahame uanze kudalalia chumba. Jenga yako.
Yaani madalali wamekuwa kero miji mingi Tanzania hasa jiji la Dar, wiki chache zilizopita gazeti moja liliripoti kuwa kuna madalali mpaka ikulu wanaotapeli watu kwa kusema wanawatafutia ajira ofisi ya raisi.
Sasa wewe ukitaka kumzunguka dalali, unaweza sema unataka kiwanja then yeye ataenda kukuonyesha hicho kiwanja na baada ya yeye kukuonyesha hicho kiwanja unamwambia ngoja nikafikirie then ndani ya wiki hii nitakutafuta.
Baada ya hapo we kesho yake unarudi mpaka kwenye kile kiwanja unawauiliza majirani nani ni mmiliki wa hicho kiwanja utaambiwa ni fulani na anaishi wapi na utaomba namba yake ya simu kisha unampigia simu unamueleza shida yako, mtapanga jinsi ya kuonana kisha unafanya manunuzi. Utakaposhangaa ni pale mwenye kiwanja atakwambia kiwanja anauza milioni 8 wakati dalali alikwambia kinauzwa milioni 20.
NB: Tumia ujanja huo au unaofanana na huo na unaweza kuuboresha zaidi katika madalali wa kila aina waotaka pesa za bure kwa kushinda vijiweni
nina ndugu yangU mmojA alifanyA kamA unavyosemA alipelekwA kiwanjanI akapaonA nA kuahDI kuwA atakujA kulipA afteR one week.kesho yake tU akajA akanunuA kiwanjA kwa muhusikA basi wale madalali baadA yA kuckiA kuwA kimeuzwA bacI walimfuatiliziA mpakA nyumbanI kwAKE wakapafam tenA walikujA wenGI nA kwA sharI ,jamaA akawA hanA namnA akawapA fedhA kidogo nA wakaondokA binafsi KiukwelI cwakubalI nawaonA kamA ni dhulmA wakatI mwingne wanapatA helA kumshndA hatA mwenyE malI yakE.
Labda kama hicho kiwanja hakijakamatwa na dalali mzoefu. Dalali mzoefu huwezi kumzunguuka kitoto hivyo!..yeye ndio anamiliki kiwanja na mwenye mali anamsikikiza yeye!..mikataba yote anatengeneza dalali na mwenye mali anasikiliza tu! Wewe umekutana na dalali underground
Yaani madalali wamekuwa kero miji mingi Tanzania hasa jiji la Dar, wiki chache zilizopita gazeti moja liliripoti kuwa kuna madalali mpaka ikulu wanaotapeli watu kwa kusema wanawatafutia ajira ofisi ya raisi.
Sasa wewe ukitaka kumzunguka dalali, unaweza sema unataka kiwanja then yeye ataenda kukuonyesha hicho kiwanja na baada ya yeye kukuonyesha hicho kiwanja unamwambia ngoja nikafikirie then ndani ya wiki hii nitakutafuta.
Baada ya hapo we kesho yake unarudi mpaka kwenye kile kiwanja unawauiliza majirani nani ni mmiliki wa hicho kiwanja utaambiwa ni fulani na anaishi wapi na utaomba namba yake ya simu kisha unampigia simu unamueleza shida yako, mtapanga jinsi ya kuonana kisha unafanya manunuzi. Utakaposhangaa ni pale mwenye kiwanja atakwambia kiwanja anauza milioni 8 wakati dalali alikwambia kinauzwa milioni 20.
NB: Tumia ujanja huo au unaofanana na huo na unaweza kuuboresha zaidi katika madalali wa kila aina waotaka pesa za bure kwa kushinda vijiweni
Na sk hz tra inawatambua
Hawana lolote nyie ndio mnalea hawa watu na serekali yetu imekaa kimya hata kodi hawalipi.Ila soon wasipokwenda na maendelea ya kielectronic watu watakuwa wanatumia mitandao kuuza na kununua vitu wao wabaki na miguu.Na kumbuka miaka ya nyuma mpaka kulipia vitu TRA dalali,sijui passport dalali sasa mambo yanaanza kubadilika kidogo kidogo.Mimi last year nilitaka kuuza gari langu wakaniambia mama hili gari bei yake ni milion tano nikawaambia tano siuzi nikaliweka kwenye mtandao nikauza clean seven milion bila dalaliUnajidanganya tu ndugu hakuna kitu kama hicho dalali hadhulumiwi pesa yake hata siku moja vinginevyo unatafuta vita yani hautokaa kwa amani eneo hilo iwe ni nyumba ya kupanga ay kiwanja kwa sababu dalali mpaka anampeleka mteja eneo la kiwanja jua fika amekabidhiwa na mwenye kiwanja eneo hilo atafute mteja wakiwa katika makubaliano ya ten percent ya mauzo ni hakhi y adalali sasa dalali akupeleje harafu umzunguke ndugu yangu utarogwa utafanyiwa kila visa kwanza unaweza usijenge kabisaaaaaa. Wewe kama unaweza tafuta kiwanja mwenyewe bila dalali uone kama utapata. Msidhalau madalali wana umuhimu mkubwa sana katika jamii hizo hizo kasoro nyingine zinalekebishika kama za kuongeza bei nk endapo tu serikali itaingilia kati katika kusajiri madalali wote wawe wanalipa kodi ili mapato ya serikali yaongezeke