Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

Jinsi ya kumuona mtu utakae muoa au kuelewa nae (DIVINATION)

Mahitaji/vifaa:

1: Apple jekundu

2: Kitana (sio chanuo)

3: Kioo

4: Chumbani peke yako

5: Muda saa 6-8 usiku

Ufafanuzi:

1: Apple - ni tunda lenye siri ndefu katika masuala ya mapenzi..

2: Kitana: Hutumika kusugua nywele kupata nguvu ya siri alionayo kila mwanadamu kila sehemu ya mwili wa mwanadamu ina siri na kazi yake wenye kuzijua wachache mie mwenyewe cjui.

3: Kioo: Nacho kina siri ila moja nikukuonesha some of your future life. Ndio maana hujiona mwenyewe..

4: Chumbani peke yako: Ni siri yako mwenyewe ndio maana hutakiwa kufanya peke yako ikikuridhisha tangaza

5: Muda: Ni vema kuwe muda niliotaja hapo juu kuwe na utulivu hakuna fujo wala kelele...

Cha kufanya:

Chukua apple lako shika na mkono wa kushoto na wa kulia shika kitana tafuna huku unajiangalia kwenye kioo muda huo huo huku ukichana nywele

Fanya hivyo huku unaangalia kioo chako...

Matokeo:

Itatokea picha kwenye kioo ya mschana au mvulana utakae muoa au kuolewa nae... Baada ya muda itapotea mwisho wa zoezi...

Tahadhali:

Usijekumuona mschana au mvulana ambaye hujaridhika nae ukajuta huwezi kujua ni kwa nini huenda ndio Mungu aliyekujalia huwezi pinga.
Labda utampenda ukikuta ana mali zake au kama ni mtu mzima utaolewa uzeeni. Haitishi usiogope ni kama picha tu, utamuona kichwa kama kioo kidogo. Utaishia kifuani au full inategemea na kioo.

Rakims
Mhhhhh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Upuuzi kama huu,utausikia kwa waswahili wajinga na fukara tu,jamii zilizoendelea,zenye mwanga wa akili,huwezi kusikia huu upuuzi.
Hata beachboys kwenye beach za Zenj,wanao date na totoz za kizungu mpaka ndoa,hawafanyi huu upuuzi.
 
Kwa hiyo hizo sifa ulizotoa hapo mkuu ninazo mimi kwa maelezo yako?

Rakims
 
Ni kweli si joke kwako, lakini kwangu naiona imekaa kimiujiza zaidi. Yaani uchane nywele then sura ije??????, nani anyehusika kuleta hiyo sura kwenye kioo??????
It's more psychological.....hiyo picha itatikea sababu utakua unaiwaza
 
Watu mnaponda ila hakuna ambaye ameshajaribu mpk sasa. Fanyeni mtuletee mrejesho 😁
 
Ingekuwa mbinu za kufahamu hazina ilipo...nakwambia muda huu ningeenda kusaka apple na kioo..
 
Back
Top Bottom