Jinsi ya kumtunza Mume - Shangingi afunguka!

Umechoka zako kutoka kazini unakuta mke yupo chumbani kavaa gauni kama ambalo angevaa kwenda sokoni anaangalia Juakali kwenye simu yaani hana taimu na wewe.
Chumbani ukikaa watoto wanaingia wanatoka wanaingia wanaenda na mama ndio anawaita Kuwaagiza kazi hii fanya ile lete hiki mpe baba hiki yeye alipo ndio hapo hapo hadi atakapoona yeye anyanyuke. Huyu wa hivi nae ndio udhaifu wake labda. Yeye simu yake iwe na bando tu.
Tuishi nao kwaakili🤔
 
Umecheka zako kutoka kazini unakuta mke yupo chumbani kavaa gauni kama ambalo angevaa kwenda sokoni anaangalia Juakali kwenye simu yaani hana taimu na wewe.
Chumbani ukikaa watoto wanaingia wanatoka wanaingia wanaenda na mama ndio anawaita Kuwaagiza kazi hii fanya ile lete hiki mpe baba hiki yeye alipo ndio hapo hapo hadi atakapoona yeye anyanyuke. Huyu wa hivi nae ndio udhaifu wake labda. Yeye simu yake iwe na bando tu.
Tuishi nao kwaakili🤔
sauwa
 
Back
Top Bottom