Jinsi ya kumtunza Mume - Shangingi afunguka!

Jinsi ya kumtunza Mume - Shangingi afunguka!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
So leo nilikuwa namfanyia interview Shangingi mmoja kuhusu maisha yake, kabla na baada ya kuitwa Shangingi Ila sasa ameolewa na ana ndoa ya Miaka 10 na watoto 3.

Interview nitarusha baadae kwenye YouTube Channel Yangu 😇

Katika ongea ongea, host mwenzangu akamwuliza swali zuri Tu;
" Inakuwaje nyie mnapewa, mnasikilizwa na wakati mwingi Sisi tulioolewa tunaona nyie mnapendwa Sana na Waune zetu kuliko Sisi na tunaamini kuwa mnachukua pesa nyingi Sana za Waune zetu, huwa mnafanyaje??
Tupe njia ya kumtunza Mume kama nyie mmavyotunza waume za watu na mpaka wengine sikuhizi wanaolewa, mume anaacha familia yake anawaoa? Inakuwaje?! Mnatumia uchawi?!"

Shangingi akafunguka sana, akaongea vitu 10 vya muhimu lakini mimi nitavisema 4 Tu:

1. Wanawake wote Wana akili nyingi ndivyo Mungu amewaumba lakini wengi wao huwa wanaongea Sana, sio wasikilizaji, wanawake wengi wangekuwa wasikilizaji wakapunguza kelele tusingekuwa tunawasaidia Kazi Sisi ambao hatuongei Sana au TULIKUWA tunaongea Sana lakini sasa tumeacha🙆

Mfano: Mume anataka tendo la ndoa, kabla hajafika nyumbani anakutumia SMS za Mahaba kama, bebi nimekumiss lakini MKE anajibu vipi leo mbona SMS kama hizi unaumwa?! Au anamjibu kifupi, miss u too. Au akifika nyumbani anamwambia nimechoka bwana tulale au fanya unachotaka ukimaliza lala me nimechoka kesho nawahi foleni niwahi kazini.

Money Penny: sasaa ulitaka wajibuje??

Shangingi: Sisi tunajibugi, tumekumiss Sana kiboko yetu, tunakusubiri Kwa hamu karibu Sana, tunakupenda mkali wetu🚶🚶🚶na akifika anapewa shoo Kali, hata kama umechoka unajikaza Ila humsemi vibaya, humkashifu, unamsifia mwanzo mwisho hata kama anaboronga humkosoi na ukitaka kumkosoa unambadilishia style anashangaa akiondoka anawaza akirudi haborongi tena

2. Wanaume wote wana- maujinga ujinga Mengi Sana kichwani kwao, ambayo hayo maujinga wanawake weeeengi sio wote hawayapendi kwao NI upuuzi na utoto na wanaishia kumwambia mume wake au mpenzi wake, we nawe kama mtoto hujui tu au hujui kwamba wewe NI Baba WA familia?!

Mfano: mwanaume yeyote anapenda style na mechi tofautitofauti na kuongea mambo ya ngono au maneno machafu muda mwingi Sana kwa mpenzi wake au mke wake lakini MKE atamkataza asiongee matusi au mambo ya ngono kwenye simu au wakiwa wote lakini Mume Huyo Huyo akija kwetu mashangingi tunamdakia hewani, hatumzuii, hatumkatalii, hatumzimi, tunamridhisha Kwa matamanio ambayo mkewe amemkatalia na inakuwa rahisi kwao kutoa pesa kwetu.
Wakati mwingi hatuwaombi hela Ila shoo tunazowapatia zinawadatisha wanatoa hela nyingi Sana kwetu wenyewe bila kuombwa.

3. Tunawekeza Mapenzi Kila siku, tunajifunza Mapenzi Kila siku, tunayasoma Mapenzi Kila siku, Mapenzi kwetu NI kama ajira tunayachukulia serious kuliko mnavyodhani.

Mapenzi sio ngono na kufanya Mapenzi, NI Kila kitu kuanzia fikra, maneno, mawasiliano, matendo
Mfano: mavazi ya chumbani na ya mtaani tunayovaa sisi hayafanani, ndio mtaani tutavaa kama wanawake wengi lakini chumbani hatuna kinyaa, woga, aibu, chochote anachotaka mwanaume tumvalie, tumwongeleshe, tumhudumie tunafanya

Na ukiweza kumkamata mwanaume yeyote kwenye haya maeneo hakuachi, atakwambia ana MKE na watoto lakini hakuachi, ingawa sikuhizi waume wanaacha wake zao wanahamia kwetu, sio kwamba tunapenda waaache wake na watoto kwasababu hata sisi NI wanawake tuna mioyo Sawa na wanawake wengine na pia tunawakataza wasiache familia zao

4. Mapenzi sio sheria lakini ndoa ni sheria, Mapenzi NI creativeness (Ubunifu) Kama kila tunapoamka asubuhi NI siku mpya, na mapenzi yanatakiwa yawe mapya sio ya Juzi, Jana na Miaka iliopita, wanaume wanapenda vitu vipya Kila siku

Kwetu Sisi haya ndio tunayoyafanya kumtunza mwanaume
 
Chapter summary:
1. Hatupendi kelele.
2.Kuwa na mdomo msafi hata kama shoo mbovu sifu kidogo. Tumia akili kufikisha ujumbe.
3.Msibanie pussy
4.Mjue kutega kimavazi chumbani etc.
5...ongezea
Asante Kwa summary bro naona we na shangingi mnafanana majibu
 
Mhh!haya MASHANGINGI si ndo yale ma-mama makubwamakubwa yenye wanja kama RAINBOW na WOWOWO la kuombea mkopo bank!!sijawah ona SHANGINGI flat screen bhabehi,pia et nasikia ni matamu#obheja manka
 
Mhh!haya MASHANGINGI si ndo yale ma-mama makubwamakubwa yenye wanja kama RAINBOW na WOWOWO la kuombea mkopo bank!!sijawah ona SHANGINGI flat screen bhabehi,pia et nasikia ni matamu#obheja manka
halafu yanakuwa yamejichubua hatari hadi uso unabadilika rangi
 
Mhh!haya MASHANGINGI si ndo yale ma-mama makubwamakubwa yenye wanja kama RAINBOW na WOWOWO la kuombea mkopo bank!!sijawah ona SHANGINGI flat screen bhabehi,pia et nasikia ni matamu#obheja manka
Wamejaa Instagram wanatukanana🚶🚶🚶
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom