Jinsi ya kumpata mwanamke au mwanaume yeyote

Love
Loving
Falling in love
Usichanganye na uganga its just feeling

Mke au mume hutoka kwa Mungu
Tusiache maombi
 
(Ni lazima uwe na nia safi naye,kumuoa au kuolewa,usifanye kwa mke au mume wa mtu mwngne (ukimfanyia ili uSEX naye tyu kisha uachane nae yatakayokukuta utajiju!!)

ANDAA VITU VIFUATAVYO

1. Okota mchanga alio ukanyaga kwa mguu wake
UNAPOCHUKUA NYAYO YAKE SEMA HIVI
wewe sio mchanga bali ni fulani mzaliwa wa fulani
( kama anaetakiwa ni mwanamke basi uokotwe mchanga alioukanyagia kwa mguu wa kushoto)
( ikiwa anaetakiwa ni mwanaume basi uokotwe mchanga alioukanyagia kwa mguu wa kulia)

2. Chukua na mchanga wa mguu wako wewe muhusika wa mguu wa kulia(UWE MWANAMKE AU MWANAUME)
nenda kachimbe mzizi wa muhina(Ule wanaotumia wanawake kujichora maua mwilini kama tatoo)
iwe siku ya jumatano wakati unachimba huo mzizi iwe saa moja asubuhi huku ukiwa unausemesha kwa nia au makusudio yako ya kuja kuuchukua ili ukakufanyie kazi fulani

Wakati unauchimba unatakiwa uumwagie mchele,mtama na bisi kidogo tuu
ukishamaliza kuusemesha ung’owe mzizi ulioelekea upande anakoishi yule muhusika unayemtaka au linapozama jua
3.Chukua na kitambaa cheupe kipya kilichokua hakijatumika hata kidogo kiwe saizi ya kufungia vile vitu vyako tu ulivoviandaa

ANZA SASA
Chukua kile kitambaa ulichokiandaa kwa ajili ya hilo kitandike chini
kisha chukua ule mchanga wa mguu wa yule muhusika utie katika kitambaa hicho
chukua na ule mchanga wa mguu wako uchanganye pia ktk kitambaa
chukua ule mzizi uliouchimba wa muhina uchanganye pamoja

UNAPOCHANGANYA ULE MUHINA SEMA HIVI
Wewe ndio muhimiza mapenzi ya fulani(jina lake) bint fulani(jina la mamake) kwangu mimi fulani
kumbuka kila unachokitia pale ukitie kwa nia na kwa kukisemezea baada ya hapo kifunge kile kitambaa chenye mchanganyo wa vile vitu ukifunge kwa uzi wa hariri mweupe au mwekundu usiwe mweusi

Tafadhali
Na unapofunga kile kitambaa cheupe sema ivi wewe sio kitambaa bali ni naufunga moyo wa fulani bint fulani
yaani hili neno fulani kwako wewe unatakiwa kutaja jina

ZOEZI LOTE LIFANYIKE SIKU YA JUMATANO KATI YA SAA 1 AU 8 MCHANA
baada ya hapo subiri jumatano nyengine ni vizuri ikiwa ya mwanzo wa mwezi saa moja asubuhi kamili ifukize kwa ubani mashtaka ubani maka udi na uvumba baada ya hapo nenda kaizike kati kati ya jiko na ifukie atakua chini yako na atakupenda sana.

Acha uchawi
 
Halafu mtadumu kweli? Hebu fikiria, umeshafanya hiyo ibada, ukampata, baadae asikuridhishe kwa namna Moja au nyingine, aiseee tambiko lazima likufanye kama lilivyo Fanya kwa mzungu wa Simba
 
Bahati nilishaoa lakini pia majukumu yamenikamata mnoo
Hii ingenikuta enzi ileee wangenikoma hawaaa viumbee
 
(Ni lazima uwe na nia safi naye,kumuoa au kuolewa,usifanye kwa mke au mume wa mtu mwngne (ukimfanyia ili uSEX naye tyu kisha uachane nae yatakayokukuta utajiju!!)

ANDAA VITU VIFUATAVYO

1. Okota mchanga alio ukanyaga kwa mguu wake
UNAPOCHUKUA NYAYO YAKE SEMA HIVI
wewe sio mchanga bali ni fulani mzaliwa wa fulani
( kama anaetakiwa ni mwanamke basi uokotwe mchanga alioukanyagia kwa mguu wa kushoto)
( ikiwa anaetakiwa ni mwanaume basi uokotwe mchanga alioukanyagia kwa mguu wa kulia)

2. Chukua na mchanga wa mguu wako wewe muhusika wa mguu wa kulia(UWE MWANAMKE AU MWANAUME)
nenda kachimbe mzizi wa muhina(Ule wanaotumia wanawake kujichora maua mwilini kama tatoo)
iwe siku ya jumatano wakati unachimba huo mzizi iwe saa moja asubuhi huku ukiwa unausemesha kwa nia au makusudio yako ya kuja kuuchukua ili ukakufanyie kazi fulani

Wakati unauchimba unatakiwa uumwagie mchele,mtama na bisi kidogo tuu
ukishamaliza kuusemesha ung’owe mzizi ulioelekea upande anakoishi yule muhusika unayemtaka au linapozama jua
3.Chukua na kitambaa cheupe kipya kilichokua hakijatumika hata kidogo kiwe saizi ya kufungia vile vitu vyako tu ulivoviandaa

ANZA SASA
Chukua kile kitambaa ulichokiandaa kwa ajili ya hilo kitandike chini
kisha chukua ule mchanga wa mguu wa yule muhusika utie katika kitambaa hicho
chukua na ule mchanga wa mguu wako uchanganye pia ktk kitambaa
chukua ule mzizi uliouchimba wa muhina uchanganye pamoja

UNAPOCHANGANYA ULE MUHINA SEMA HIVI
Wewe ndio muhimiza mapenzi ya fulani(jina lake) bint fulani(jina la mamake) kwangu mimi fulani
kumbuka kila unachokitia pale ukitie kwa nia na kwa kukisemezea baada ya hapo kifunge kile kitambaa chenye mchanganyo wa vile vitu ukifunge kwa uzi wa hariri mweupe au mwekundu usiwe mweusi

Tafadhali
Na unapofunga kile kitambaa cheupe sema ivi wewe sio kitambaa bali ni naufunga moyo wa fulani bint fulani
yaani hili neno fulani kwako wewe unatakiwa kutaja jina

ZOEZI LOTE LIFANYIKE SIKU YA JUMATANO KATI YA SAA 1 AU 8 MCHANA
baada ya hapo subiri jumatano nyengine ni vizuri ikiwa ya mwanzo wa mwezi saa moja asubuhi kamili ifukize kwa ubani mashtaka ubani maka udi na uvumba baada ya hapo nenda kaizike kati kati ya jiko na ifukie atakua chini yako na atakupenda sana.
Shida yote ya nini hii mzee wakati meseji tu ya simu inatosha?😀
 
(Ni lazima uwe na nia safi naye,kumuoa au kuolewa,usifanye kwa mke au mume wa mtu mwngne (ukimfanyia ili uSEX naye tyu kisha uachane nae yatakayokukuta utajiju!!)

ANDAA VITU VIFUATAVYO
Hivi mapenzi yalivyo nje nje hivi bado mnahitaji ushirikina huu?
 
Back
Top Bottom