jinsi ya kumpagawisha mwanaume

Mengi sana mazuri yamesemwa. Kingine cha kuongezea msisitizo tu kwa wadada ni kwamba sio kila siku unakaa kungoja mwanaume ndio aanze kutaka mambo au kukuomba. Jitahidi na wewe uwe unaanzisha game, mchokoze hadi ainuke. Sometimes mfanyie kila kitu naye ajisikie raha ya kufanywa!
 
I have red over 10, so which tittle do you refer? Currently im reading AFTER THE DARKNESS!!!!!!!

He's my most favorite author, I think I have read 12 of his books but haven't come across "After the Darkness"
 
Mmmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni SIRI ZA BIASHARA ila ngoja nijibu tu.

1.Mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi KUWE NA TIME TABLE!!!!! Hell No! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, Emirates na Anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.

2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya SYDNEY SHELDON!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( Noma kna siku alirudi na Maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, NILIZAMAJE UVUNGUNI FASTA!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)

3.Nyingine ni design za KABA KOO, mtu yupo busy na Match au TV we umelala mwenyewe unangoja aje, Nainuka na khanga naenda kunywa maji ya Uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(Tatizo akisikia GOOOOOOOOOO!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)

4.Nikiona amenuna kama COBRA almanusura kupasuka, NAMPOOZA KIDOGO manaake hawakawii hawa!

5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.
cc Mrembo rubii kimimi
 
Sasa hapo kuna kazi zinahitaji concentration jmn hizo picha na msg sio mahala pake..... Tafuta mbinu nyinginee
 
Back
Top Bottom