jinsi ya kumpagawisha mwanaume

jinsi ya kumpagawisha mwanaume

Nikisomaga kwenye mitandao kila mtu maisha mazuri kudrive,ofisini na mavitu mengine ? Ni kweli hamnaga jf member wa uswahilini? Je wale wa chumba na sebule hawapo? Much better if we share both experience. Za uswahilini kwetu na za ushuani
 
Kama hashei Ofisi na mtu, mfuate ukampe cha ufisini!

Mcheleweshe kazini mara moja moja!

Mtegeshee ukiwa unadeki chumbani kwenu, usiwe umevaa lijichupi lkn!

Kukiwa na wageni nyumbani, muite chumbani as if kuna kitu serious; mchojoe na kummyonya kidogo; then mrudi mkawaattend wageni. (cha wizi hicho).

Inatosha, (mume wangu yuko humu humu)! LOL
Ila usisahau kuikalia mkiwa nje kwenye balcon usiku taa zikiwa zimezimwa!
yaan kukaliwa ndo raha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

thx.
nyie ndo mnaotuma picha za uchi kwa mabwana zenu then mkiachana kwa akizisambaza unamfungulia kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni SIRI ZA BIASHARA ila ngoja nijibu tu.

1.Mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi KUWE NA TIME TABLE!!!!! Hell No! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, Emirates na Anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.

2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya SYDNEY SHELDON!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( Noma kna siku alirudi na Maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, NILIZAMAJE UVUNGUNI FASTA!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)

3.Nyingine ni design za KABA KOO, mtu yupo busy na Match au TV we umelala mwenyewe unangoja aje, Nainuka na khanga naenda kunywa maji ya Uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(Tatizo akisikia GOOOOOOOOOO!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)

4.Nikiona amenuna kama COBRA almanusura kupasuka, NAMPOOZA KIDOGO manaake hawakawii hawa!

5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.

lara 1 unaonekana si haba bibie plz nitunuku baraka za allah 😛
 
Kama hashei Ofisi na mtu, mfuate ukampe cha ufisini!

Mcheleweshe kazini mara moja moja!

Mtegeshee ukiwa unadeki chumbani kwenu, usiwe umevaa lijichupi lkn!

Kukiwa na wageni nyumbani, muite chumbani as if kuna kitu serious; mchojoe na kummyonya kidogo; then mrudi mkawaattend wageni. (cha wizi hicho).

Inatosha, (mume wangu yuko humu humu)! LOL
Ila usisahau kuikalia mkiwa nje kwenye balcon usiku taa zikiwa zimezimwa!
Daaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom